Vitambulisho vya Askari kuorodheshwa, hili limekaaje?

na hii tuhuma ya kupiga kampeni kwa kuwambia polisi kuchagua chama kinacho walipa mishahara ameiongeleaje?
 
Haupo kisheria na hats mimi nimemshangaa sana IGP tena akiwa anasema waziwazi kwa kujiamini!

Kwani askari wao ni kina nani ati hata wawe tofauti na raia wengine katika swala zima la kujiandikisha kupiga kura na kuhakiki taarifa zao?

Hivi yeye IGP na maafisa wenzake wa polisi amekuwa Afisa wa NEC kukagua shahada za kupigia kura za askari wake?

UKAWA fuatilieni hilo, magoli ya mkono yanaandaliwa hayo.

Nimemcheki kupitia ITV taarifa ya habari ya IGP mangu akitolea ufafanuzi hilo. Kwanza uso wake ulikuwa unamshtaki, hajiamini na pengine hakujua kuwa watu wameshajua wanachokifanya!!
Hawez shitakiwa huyu jamaa baada ya kutoka public na kuelezea suala ambalo halimhusu?
 
ngoja nimuombe baba padre ahakiki majina kadi zetu waumini wake... kama kuna mtu hajajianfikisha ampe neno... nakupenda bongoland
 
mkurugenzi wa tume ya uchaguzi amesema kumiliki kadi ya mpiga kura isiyokuhusu ni kosa kisheria..msemaji wa jwtz amesema wao hawana mamlaka ya kumchagulia mpiganaji wao maamuzi yake ya kidemokrasia kumpigia mtu amtakae kwa kua wote wanajenga nyumba noja hawawezi kugombea fito..sasa igp nimemwona alivyokua anazungumza upuuzi ule..nimejiuliza sana juu ya uwezo wake wa kupambanua mambo
hivi ni kweli kwamba hajui kua kadi ni haki ya siri ya mmiliki no matter nii askari..sheikh..padri..changudoa etc?
na alikua anahakiki ili kama kuna askari hakujiandikishe amfanye nn?kutokujiandikisha sio kosa kisheria..kama ilivyokujiandikisha ambavyo pua sio kosa..AMECHEMSHA SANA AJIPANGE..
 
Huyu igp vp anaelewa sheria ya uchaguzi kuhusu bvr. Inabidi ajipange maana hajajibu Bado, anaweza hata kushitakiwa.........
Toka lini IGP ameajiriwa NEC hadi ahakiki vitambulisho vya mpiga kura.

Inabidi Lubuva atueleze vizuri kama ame delegate hiyo kazi kwa Mangu.
 
mkurugenzi wa tume ya uchaguzi amesema kumiliki kadi ya mpiga kura isiyokuhusu ni kosa kisheria..msemaji wa jwtz amesema wao hawana mamlaka ya kumchagulia mpiganaji wao maamuzi yake ya kidemokrasia kumpigia mtu amtakae kwa kua wote wanajenga nyumba noja hawawezi kugombea fito..sasa igp nimemwona alivyokua anazungumza upuuzi ule..nimejiuliza sana juu ya uwezo wake wa kupambanua mambo
hivi ni kweli kwamba hajui kua kadi ni haki ya siri ya mmiliki no matter nii askari..sheikh..padri..changudoa etc?
na alikua anahakiki ili kama kuna askari hakujiandikishe amfanye nn?kutokujiandikisha sio kosa kisheria..kama ilivyokujiandikisha ambavyo pua sio kosa..AMECHEMSHA SANA AJIPANGE..

Anapaswa kushatakiwa kabisa.Amechemsha vibaya sana na anapaswa kujiuzulu.
 
mkurugenzi wa tume ya uchaguzi amesema kumiliki kadi ya mpiga kura isiyokuhusu ni kosa kisheria..msemaji wa jwtz amesema wao hawana mamlaka ya kumchagulia mpiganaji wao maamuzi yake ya kidemokrasia kumpigia mtu amtakae kwa kua wote wanajenga nyumba noja hawawezi kugombea fito..sasa igp nimemwona alivyokua anazungumza upuuzi ule..nimejiuliza sana juu ya uwezo wake wa kupambanua mambo
hivi ni kweli kwamba hajui kua kadi ni haki ya siri ya mmiliki no matter nii askari..sheikh..padri..changudoa etc?
na alikua anahakiki ili kama kuna askari hakujiandikishe amfanye nn?kutokujiandikisha sio kosa kisheria..kama ilivyokujiandikisha ambavyo pua sio kosa..AMECHEMSHA SANA AJIPANGE..

IGP amejivuwa nguo hadharani
 
Toka lini IGP ameajiriwa NEC hadi ahakiki vitambulisho vya mpiga kura.

Inabidi Lubuva atueleze vizuri kama ame delegate hiyo kazi kwa Mangu.

watu wa Ukawa inabidi wapaze sauti IGP ajieleze vizuri, hayo mamlaka kayapata wapi?...maana kujiandikisha au kuto jiandikisha ni maamuzi ya mtu, hivyo hivyo kwenye kupiga kura.
 
Huu ndio ushahidi kamili wa kudai vitambulisho vya mpiga picha
 
Attachments

  • 1439700112891.jpg
    1439700112891.jpg
    67.3 KB · Views: 1,596
Huu ndio ushahidi kamili wa kudai vitambulisho vya mpiga picha

Uwongo mtupu siasa za kitoto.Umejichapia mwenyewe ukasaini na kuiga picha na kasimu kako koko na kuleta hapa!!!! CHEAP POLITICS
 
Igp amekiri hili anadai. Jeshi lilikuwa linahakiki kama kuna ambae ajajiandikisha.swali unahakiki kuomba kadi..hii n kesikubwa
 
Back
Top Bottom