Mtu anayelinganisha mafanikio ya taasisi(chuo) na mtu(diamond) hata ukimpa vigezo hataelewa.Si mumjibu na nyie kwa vigezo
Mtu anayelinganisha mafanikio ya taasisi(chuo) na mtu(diamond) hata ukimpa vigezo hataelewa.Si mumjibu na nyie kwa vigezo
Chuo cha Sanaa! Tafsiri ya sanaa ni pana na mtambuka!Bora Asingejibu.. Hao Aliwataja wamelisaidia nini Taifa hili kama siyo kutafuna pesa za walipa kodi?? Wameshindwa hata kupeleka mawazo kwa Waziri wa Sanaa pale chuoni pawe na Studio ya kimataifa mapato yarudi selikalini?? Makonda Ana mapungufu mengi sana ila kwa Hili yuko sahihi...
WCB wanaimba matusi mwanzo mwisho wa wimbo. Ndio kusaidia kukuza tasnia ya mziki Tanzania?Uandishi wako unaakisi ukweli aliousema Makonda,ni mpumbavu atasapoti maelezo yako,
Mkuu, basata ndo wenye kuthibitisha hayo matusiWCB wanaimba matusi mwanzo mwisho wa wimbo. Ndio kusaidia kukuza tasnia ya mziki Tanzania?
Kwani wewe huwezi kupambanua matusi kwenye wimbo? Ebu jaribu kusikiliza wimbo wa Diamond uitwao Jibebebe ukiwa na Mama Mkwe wako au Binti yako ndio utaelewa nilichoandika.Mkuu, basata ndo wenye kuthibitisha hayo matusi
Anayetifuliwa ni Gay, wewe hujui kingereza.
Tulia weweeMkuu, basata ndo wenye kuthibitisha hayo matusi
He deserves it hana utu wala ada....buKatumia lugha isiyokua na staha.
Wanaharibu tu watoto kuvaa suruali chini ya makalio!wasafi wamesaidia nini taifa?
Makonda anaweza kuwa sahihi - lkn pia lugha aliyotumia huyu Maembe ni ya ukakasi as if kuna ugomvi wa muda mrefu baina yao
(i). Tupe jina la mwanamziki mwenye akili ya kusaidia wananchi aliyepita hapo (hii ndiyo hoja ya makonda)
(ii). Tupe mwanamziki aliyeitangaza Tanzania nje ya mipaka yetu kama Diamond (hii ndiyo hoja ya Makonda)
(iii). Tupe mwanamziki aliyeinua vipaji vya wanamziki chipukizi nchini (hii ndiyo hoja ya Makonda)
Usimshambulie Makonda jibu hoja na ikiwezekana kubali kubadilika!!!!!
Tulitazamia mtu akitaja Chuo hicho reflection yake iwe sawa na vyuo kama Mzumbe, UDSM nk
Hamjaelewa hoja ya msingi ya Vitalisi. Ukimsoma vizuri ni kwamba chuo cha sanaa bagamoyo kazi yake si kufundisha wanamuzikiHiki chuo hakiendani na muda kabisa mpaka leo unatutajia kina jangala
Chuo cha bagamoyo hakuna tijaHamjaelewa hoja ya msingi ya Vitalisi. Ukimsoma vizuri ni kwamba chuo cha sanaa bagamoyo kazi yake si kufundisha wanamuziki
Sanaa si muziki peke yake! Hivyo kusema chuo hakijatoa wasanii waliolisaidia Taifa ni kudhihirisha kuwa msemaji hajui sanaa ni nini.
Vitalisi alijaribu kuonesha wasanii mbalimbali waliotokana na chuo cha sanaa Bagamoyo lakini wachangiaji wengi bado wanadhani sanaa ni muziki na maigizo tu
Diamond ni mwanamuziki, pale Bagamoyo hawafundishi muziki tu! Wanaweza kuwa hawajafanya vizuri kwenye upande wa muziki, lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kusema hawana lolote. Huenda muziki si kipaumbele chao cha kwanza pale chuoni
Makonda hakuwa sahihi na hajawahi kuwa kama kawaida yake .Hamjaelewa hoja ya msingi ya Vitalisi. Ukimsoma vizuri ni kwamba chuo cha sanaa bagamoyo kazi yake si kufundisha wanamuziki
Sanaa si muziki peke yake! Hivyo kusema chuo hakijatoa wasanii waliolisaidia Taifa ni kudhihirisha kuwa msemaji hajui sanaa ni nini.
Vitalisi alijaribu kuonesha wasanii mbalimbali waliotokana na chuo cha sanaa Bagamoyo lakini wachangiaji wengi bado wanadhani sanaa ni muziki na maigizo tu
Diamond ni mwanamuziki, pale Bagamoyo hawafundishi muziki tu! Wanaweza kuwa hawajafanya vizuri kwenye upande wa muziki, lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kusema hawana lolote. Huenda muziki si kipaumbele chao cha kwanza pale chuoni
Makonda hakuwa sahihi na hajawahi kuwa kama kawaida yake .
Ila chuo cha bagamoyo hakiendani na kasi ya ulimwengu huu na kwa sanaa zote hakuna kitu tangible tena .
Watumishi wake ni outdated hata computer hawajui kutumia damu changa zinahitajika
Na serikali iwekeze
Wewe unawajua walimu wa chuo cha sanaa Bagamoyo? Hawajui kutumia computer? Hizi habari nyingine mnazitoaga wapi?