Vitabu vya Ben Mtobwa vinapatikana hapa...

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Habari wadau wasomaji wa riwaya za kipelelezi?
Vitabu vya gwiji Ben Mtobwa vinapatikana. Mpaka sasa kuna aina 12 za vitabu vya Mtobwa vinavyopatikana.
Vitabu vya joram kiango ni elfu kumi kwa kila kimoja.
Vitabu vya kijamii vinapatikana hadi kwa 15000.
Tupo Dar es salaam posta karibu na sanamu, Kinondoni kituo cha kanisani na Bunju A.
Kwa maelezo zaidi tupigie kwa 0763044459.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom