mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,107
Afu una conclude Marekani alishindwa vibaya sa a kwenye hii vita!1 November 1955 – 30 April 1975
Vita hii ni vita mbaya zaidi kwenye historia ya kivita ya Marekani.
Vita ilikuwa kati ya Vietnam kusini na Kaskazini.