Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,376
1 November 1955 – 30 April 1975
Vita hii ni vita mbaya zaidi kwenye historia ya kivita ya Marekani.
Vita ilikuwa kati ya Vietnam kusini na Kaskazini.
Mmarekani na wenzake, akajiunga kumsaidia Vietnam Kusini, wakati China, Cuba, Russia na wajamaa wengine wakaungana kumsaidia Vietnam Kaskazini.
Kwenye vita hii, USA ilipigwa vibaya sana, hadi ikaingia mitaani kukusanya mabaunsa, wababe na wote walioona wanafaa ili wakapigane vita.
Kwenye vita hii, Vietnam Kaskazini walishinda vita, USA na nduguze walikimbia huku wakipata hasara kubwa.
Karibuni kwa maoni zaidi.
NB:
Vita ni mbinu na Si kelele nyingi.
Sijasahau:-
BASHITE tunataka vyeti