Vita ya USA VS Vietnam

Vita ya USA VS Vietnam

Hakufanya analysis?
1 November 1955 – 30 April 1975 it is a very long time, nadhani kuna tatizo somewhere, kama sio kwa USA basi ni kwako.
Kwa USA waliingia vita bila kufanya war analysis, kwako, kwa kuamini kuwa wazungu hawaendi haja kubwa
Duhhh
 
Kwanza USA walichakazwa kwa mitego ya kamba na magogo baadae ndo ikawa face to face. Wavietnam hawana dogo.
 
Asante kwa kuwakumbusha. America haiwezi kwenda yenyewe siku zote wanatafuta wa kumwachia banda bovu. Kim kawaweza.kampa hata option ya kurusha japo jiwe kachemsha. Bahati yake muda huu Tz tungekua hakuna anaedai. Mdai kishakufa.
 
Vietnam ya Kusini ilikuwa haina uthibiti kama ilivyokuwa Vietnam ya Kaskazini

Amerika alikuwa anatoa msaada wa ushauri, vitaa vya vita hivyo si kweli America alipigana hii vita moja kwa moja

Vietnam ya Kaskazini ilikuwa haitaki Vietnam Kusini wajitenge.

Vietnam Kusini ilikuwa si imara kwa sababu ya uchanga wake. Ni sawa na kikundi kilichojitenga kinataka kutangaza uhuru wao

America aliamua kuondoka Vietnam kwasababu ilikuwa pointless war.

America alitii sauti za wananchi wake ambao walitaka askari wao warudi nyumbani.

Mwisho: The United States of America is the most powerful nation on earth.

You can't compare the mighty of US army with Vietnam
Ulikua hujazaliwa. America ilipigwa sana kipigo cha mbwa mwizi. Hadi leo wanaulizia kama kuna wafungwa bado Vietnam.
 
18121678_1874105369281701_6354187491499139456_o.jpg
Picha yako haifunguki
 
The Vietnamese army is not strong enough to confront the mighty of US amry. You should know this
That is a fact and there is no doubt about it. But strong as they are/were they could not continue with their repression against the Vietnamese people under the leadership of Ho Ching Minh. They left Vietnam in distress.
 
Mohammed Ali alipokwa mkanda kwa kukataa kwenda vitani. Usipotoshe.
Maneno yake yalikuwa, Vietnam hawajanifanya mtumwa, kwanini nikawapige?
Nchi yake ilimtaka kwenda kupigana lakini yeye hakukubaliana na hilo kwa sababu ulizozitaja na ndio sababu ya kupokwa mkanda. Huo ndo ukweli
 
DAUDI ALBERT BASHITE

[HASHTAG]#WachaNgengaWekaVyeti[/HASHTAG]
 
That is a fact and there is no doubt about it. But strong as they are/were they could not continue with their repression against the Vietnamese people under the leadership of Ho Ching Minh. They left Vietnam in distress.
The US could have toppled Communist regime of Northern Vietnam in 1960 but for some reasons they didn't. Remember the US were not 100% committed in the combat.
 
Vietnam ya Kusini ilikuwa haina uthibiti kama ilivyokuwa Vietnam ya Kaskazini

Amerika alikuwa anatoa msaada wa ushauri, vitaa vya vita hivyo si kweli America alipigana hii vita moja kwa moja

Vietnam ya Kaskazini ilikuwa haitaki Vietnam Kusini wajitenge.

Vietnam Kusini ilikuwa si imara kwa sababu ya uchanga wake. Ni sawa na kikundi kilichojitenga kinataka kutangaza uhuru wao

America aliamua kuondoka Vietnam kwasababu ilikuwa pointless war.

America alitii sauti za wananchi wake ambao walitaka askari wao warudi nyumbani.

Mwisho: The United States of America is the most powerful nation on earth.

You can't compare the mighty of US army with Vietnam
Kweli watu wanaipenda sana USA! Sasa kama walikuwa wanatoa ushauri tu ilikuwaje John McCain akatekwa na kuteswa kwa miaka mingi? Alitekwa akiwa Washington DC mtaani au akiwa uwanja wa vita? Mohamed Ali alikuwa anapinga kwenda kupigana ktk vita ipi? Kama wao wenyewe wanakiri kwamba walishindwa vita ile, kwanini sisi hatuamini walishindwa?
 
Moja ya sababu kubwa ya USA kushindwa vita ile ni ukweli kwamba 'guerrilla war' ni ngumu sana maana inapiganwa kwa kuviziana. Ndo maana Kony mpaka leo hajakamatwa, Boko haram wanasumbua bado, Alshabab bado wanasumbuana na Kenya na Unita ya Savimbi ilisumbua kwa miaka mingi. Kwenye Guerrilla war kuwa mbabe na silaha bora haitoshi.
 
1 November 1955 – 30 April 1975
Vita hii ni vita mbaya zaidi kwenye historia ya kivita ya Marekani.
Vita ilikuwa kati ya Vietnam kusini na Kaskazini.
Mmarekani na wenzake, akajiunga kumsaidia Vietnam Kusini, wakati China, Cuba, Russia na wajamaa wengine wakaungana kumsaidia Vietnam Kaskazini.
Kwenye vita hii, USA ilipigwa vibaya sana, hadi ikaingia mitaani kukusanya mabaunsa, wababe na wote walioona wanafaa ili wakapigane vita.
Kwenye vita hii, Vietnam Kaskazini walishinda vita, USA na nduguze walikimbia huku wakipata hasara kubwa.
Karibuni kwa maoni zaidi.
NB:
Vita ni mbinu na Si kelele nyingi.

Sijasahau:-
BASHITE tunataka vyeti
Nimependa conclusion
 
Back
Top Bottom