Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,554
- 9,381
It was a pointless war ndiyo maana wananchi walipinga.
Sio tu walipinga jeshi kuwa Vietnam pia wapiginga fedha kutumika kusapoti pointless war ya Vietnam.
Una maana gani unaposema ni pointless War, kwani vita hiyo ya Vietnam na ile ya Korea Kas na Kus ina tofauti gani?
Issue ilikuwa ni socialism na capitalism, North Korea, North VietNam na East German zote zilikuwa Socialist countries, VietNam Kus, Korea Kus, West German zote zilikiwa ni Capitalist, Marekani aliingia kwenye vita ya VietNam kuzuia Socialism isienee na sawa na alivyozuia Korea Kus isichukuliwe na na kuwa Korea moja
Sijapata point yako hapa