Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Umuhimu wa wanadamu fulani sina uhakika ila kuna chanjo wanasema zina vary according to geographic region ndio maana wakati wa Clinical trials wanapendekeza zifanyike maeneo tofauti.Hizo chanjo zao nahisi zina madaraja pengine kulingana na umuhimu wa wanadamu fulani, watu wa jiografia fulani n.k...
Mathalani hadi sasa hujapata ona hao viongozi wakubwa waliochanjwa kama wamepata madhara yoyote
Kwa hiyo ni inawezekana chanjo inayotomika Marekani isitumike Africa.
(Sio mtaalam, kama kuna makosa nisamehe)