Mtakatifu Sana
Member
- Aug 21, 2016
- 96
- 74
Ngoja arudi the bold mkali wa hizi mambo..
Hivi kati ya US na N.Korea nani mwenye kelele...?Nakuhakikishia NK kelele ni nyingi kuliko ngvu za kivita na nyuklia yenyewe. Hayo makombora yaliyojaribiwa ni mangapi yalifanikiwa? US wanachofanya sasa ni kutafuta namna ya kumzika kama Osama bila hata ya kuwapiga raia wasio na hatia. Nukuu maneno yang baada ya hayo malimbano. Siwapendi wamarekani kihivyo lakini hiki kifalme kilichojitenga na ulimwengu na ustaarabu wa dunia ni hatari kwa kila mtu
sipati picha..missile weapon ya kim yote ikienda woshington dc ivi itakuwaje?
nataka samurai actionnenda kajifunze judo
sipati picha..
maana mpaka anajiamini hivo ujue hizo missile sio za kuchezea...
mapigano yao yatahitaji kuvoziana maana atakaeanza kutua kwa mwenzie ndie atakaesambaratisha dunia y mwenzie ...
unadhani mkorea atarusha missile washngton dc
analipeleka zito kabisa Area 51 ,lazima trump afe kwa presha
baada ya hapo amerca na Asia hakutakuwa sehemu salama
wakati huo sisi ndio ,itakapoanza vita ya mwisho wa dunia ,maana wahenga walisema "Kufa kwa Mkund.u mavi hutawanyika"
wakati huo sisi ndio ,itakapoanza vita ya mwisho wa dunia ,maana wahenga walisema "Kufa kwa Mkund.u mavi hutawanyika"
kama baba na mama wanauana ,watoto sindio kutachipuka boko haram everywhere....
kibiti area 52
Tena kambi zitakuwa kibiti
Kwa anaejua lolote kuhusu chanzo cha ugomvi juu ya hizi nchi mbili zenye ubabe mwingi wa maneno.
Kwa anaejua kwa kina na alete uchambuzi kwa hawa watu;
1. Kim
2. Trump
Sababu zipi zinawafanya wasipigane? Na zipi zinawafanya wasikubali kukaa meza moja kisuluhisha utata baina yao?
Kwa anaejua lolote kwa undani atupe elimu ya bure na tujifunze kitu.
Nawasilisha
kibiti area 52
Mjomba ili uwe unaelewa haya mambo ya kivita weka ushabiki pembeni. Nk sio waarabu wale, Mmarekani anaogopa coz anajua wapo vizuri nao kiteknologia na siraha. Y anashindwa kuivamia mapema na mbona middle east alivamia kwa muda mfupi. Fikiria kwanza acha ushabikiHivi wewe kwa akili yako NK wanaweza pigana na US. Hii ni sawasawa na Panya kupigana na Simba
Tuma picha yako tuone kama takudhaniaAfu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted
michezo mara Wwe
Afu ukiniona huwezi nidhania
Eti umebadili rangi!missile weapon ya kim yote ikienda woshington dc ivi itakuwaje?
Sio burenataka samurai action
Umeiva...Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted
michezo mara Wwe
Afu ukiniona huwezi nidhania
kwa matumizi ya nyumbani au jeshiniUmeiva...
Unafaa sana
kwa matumizi ya nyumbani au jeshini