Vita ya kati ya Korea kaskazini na Marekani chanzo chake ni nini?

Nakuhakikishia NK kelele ni nyingi kuliko ngvu za kivita na nyuklia yenyewe. Hayo makombora yaliyojaribiwa ni mangapi yalifanikiwa? US wanachofanya sasa ni kutafuta namna ya kumzika kama Osama bila hata ya kuwapiga raia wasio na hatia. Nukuu maneno yang baada ya hayo malimbano. Siwapendi wamarekani kihivyo lakini hiki kifalme kilichojitenga na ulimwengu na ustaarabu wa dunia ni hatari kwa kila mtu
Hivi kati ya US na N.Korea nani mwenye kelele...?

Na umetumia kigezo gani cha kumfanisha Kim na huyo Osama...?
 
missile weapon ya kim yote ikienda woshington dc ivi itakuwaje?
sipati picha..
maana mpaka anajiamini hivo ujue hizo missile sio za kuchezea...
mapigano yao yatahitaji kuvoziana maana atakaeanza kutua kwa mwenzie ndie atakaesambaratisha dunia y mwenzie ...

unadhani mkorea atarusha missile washngton dc

analipeleka zito kabisa Area 51 ,lazima trump afe kwa presha
baada ya hapo amerca na Asia hakutakuwa sehemu salama
 
Kwa anaejua lolote kuhusu chanzo cha ugomvi juu ya hizi nchi mbili zenye ubabe mwingi wa maneno.

Kwa anaejua kwa kina na alete uchambuzi kwa hawa watu;
1. Kim
2. Trump

Sababu zipi zinawafanya wasipigane? Na zipi zinawafanya wasikubali kukaa meza moja kisuluhisha utata baina yao?

Kwa anaejua lolote kwa undani atupe elimu ya bure na tujifunze kitu.

Nawasilisha

kwani vita imeshaanza?
 
Hivi wewe kwa akili yako NK wanaweza pigana na US. Hii ni sawasawa na Panya kupigana na Simba
Mjomba ili uwe unaelewa haya mambo ya kivita weka ushabiki pembeni. Nk sio waarabu wale, Mmarekani anaogopa coz anajua wapo vizuri nao kiteknologia na siraha. Y anashindwa kuivamia mapema na mbona middle east alivamia kwa muda mfupi. Fikiria kwanza acha ushabiki
 
Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted

michezo mara Wwe

Afu ukiniona huwezi nidhania
Tuma picha yako tuone kama takudhania
 
Afu mpaka mimi najishangaa
Kusema kweli mimi napenda intelligence
Nilitamani kuwa Mwanajeshi,Shushushu,Mwanasheria
Yani hata Movie zangu Mara xpendables,mara Ip man,mara undisputted

michezo mara Wwe

Afu ukiniona huwezi nidhania
Umeiva...

Unafaa sana
 
Back
Top Bottom