Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,976
- 29,739
Mzuka wanajamvi.
Vita inayoendelea sasa hivi Gaza kati ya Israeli na Hamas itaikosesha ubingwa wa ligi kuu ya uingereza mpira liverpool.
Liverpool ambayo imeishinda usiku huu Newcastle United kwa magoli 4-2 nakuongoza kwa point 3 mbele ya Aston villa ambayo ni ya pili inahofia sana hii vita ya Gaza kuikosesha ubingwa.
Ukiangalia hali sasa having ilivyo huko Gaza inakuwa ngumu kwa wateule kutofautisha kati ya magaidi na wema na kufanya Israel ichukue tahadhari ya kuleta maafa na hii imemfanya hadi waziri mkuu Netanyahu kuweka wazi vita itachukua miezi kadhaa.
Na vita inayoendelea kuna kikundi kingine cha kigaidi Hezbollah na Houthi wa Yemen yakifadhiliwa na Iran nao wanaingia kwenye hii vita kwa kasi na itapelekea hii vita kuenea ulimwenguni na kupelekea vita ya 3 ya dunia ww3 nakuikosesha liverpool ubingwa EPL.
Chaliifrancisco adriz Saint Anne mkorea