Jamani huyu makonda wawapi mbna mnamkondesha zaidi kwa madongo??
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.
Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.
Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.
Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

Naunga mkono hojaUZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.
Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.
Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.
Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mkuu naona leo umeamua kufukua makaburi na kuunga mkono hoja. Ila nakuelewa sanaNaunga mkono hoja
Mkuu Mapovu, asante kwa kunielewa kwa sababu kiukweli ni watu wachache sana wananielewa.Mkuu naona leo umeamua kufukua makaburi na kuunga mkono hoja. Ila nakuelewa sana
JF hakuna uheshimiwa huku ukizingua ni mwendo wa kubet tu watu wanakupangia mkeka mwananaHa haa nyie mmemkimbiza Mako wawatu. Tangu May 7/2014 kakimbia mazima
Duh π€¦πΎββοΈKweli njaa mbaya sana baada ya kutumwa kumtukana Lowasa na kuzawadiwa ubunge maalum leo unakuja na Pumba.si ni wewe ulitaka iongezwe POSHO mpaka laki 5 kwa Siku? Sio wewe uliehongwa Gari na Nyumba na Mzee Sitta?Sio wewe uliembatiza Mzee sitta kuwa baba yako katika harusi yako?? Siyo wewe uliye watapeli marais wa Vyuo nauli kwenda kumuona spika wakati ukiwa chuo??? Siyo wewe uliekuwa CCJ kwa mlango wa nyuma na sasa upo Ccm na kujifanya mzalendo??? Siyo wewe uliekuwa ukimtapeli mzee Mengi na Ndesamburo pale MUCCOBS?? Uzalendo gani unaosema ??? Kijana mdogo unakuwa mnafiki??? Siyo wewe ulieitukana Ccm kwenye mkutano wa Uvccm na baadae ukafukuzwa na Sadifa katika kikao pale Dodoma??? Siyo wewe ulieenda kupiga goti kwa Ridhiwani ili upate Katibu hamasa na chipkizi wa Vijana??? Baada ya kupewa utafanya nini kipya zaidi ya kurudisha fadhila kwa waliokupatia cheo kina Ridhwani??? Huo uzalendo gani unaopigania na kuusema??? Acha unafiki kijana mdogo unaonekana ukiwa mzee lazima utakuwa mchawi
Hatma yetu sisi wananchi, na hatma ya Taifa vinakuwa na tofauti gani endapo Taifa linaundwa na sisi?UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.