Vita vya Marekani na Iran

tofautisha iran na iraq,, libya
iran ana back up ya nguvu ya bwana PUTIN kama ilivyo syria
 
Nimesoma comments zote hadi sasa sijaona mahali mtu kazungumzia nini kosa la Iran mpaka ipelekewe majeshi kutaka kuipiga!

Tunapozungumzia ubeberu ndio kama huo yaani nchi kubwa zenye nguvu za kijeshi na kiuchumi kuamua tu kuleta machafuko katika ardhi ya watu wengine kwa maslahi yao ya kiuchumi

Iran iliwekewa vikwazo na mataifa yaliochini ya NATO kwa kitendo chake cha kurutubisha vinu vya nuclear lakini baadae wakaelewana na Iran ikapewa masharti ya kusimamisha mradi wake huo ambao yenyewe ilikua inasema ni kwa ajili ya nishati na wala sio kwa shughuli za kijeshi. Aidha mataifa hayo ya Magharibi walii ahidi Iran kama itasimamisha mradi huo wataisaidia nishati

Kwa mshangao wa Marekani(maana hawakutegemea), Iran ikatekeleza makubaliano yote waliyoingia na nchi zilizo chini ya NATO kwa asilimia mia moja. Sasa Marekani wao walishajiandaa kwa shari wakasema wao wanajitoa katika mazungumzo hayo huku ikizodolewa na washirika wake wote wa Ulaya ambao waliona Iran imetekeleza kila kitu walichoambiwa

Kwa ujumla inachotaka Marekani ni kuisambaratisha Irani ili ipate fursa ya kupora mafuta kama inavyofanya sasa hivi kwa Iraq na Libya. Pia haitaki kuwe na nchi yoyote Mashariki ya Kati iwe inanguvu za kijeshi kuweza kukabiliana na Israel. Kwa ufupi Marekani wanaenda kufanya uharibifu mwingine na maafa makubwa dhidi ya binadamu, na kwa bahati mbaya sana kuna watu tena kutoka katika nchi kama Tanzania wanawashangilia kisa tu wanaichukia Iran bila sababu ya msingi
 
Marekani na Russia ni Mastermind country na China naona anaunga juhudi.

Nchi nyingi za kiafrika ambazo ni za waarabu wanamuamini Urusi kupita maelezo Syria kashakaliwa kabisaa sasa nini kinafanyika Marekani anaanzisha uchokozi na taifa lolote lile hata lisilo la kiarabu kama Venezuela alafu Russia anakuwa tofauti na marekani wakati Dunia inaaminishwa kuwa hawa watu si wamoja wanapingana wanachota Rasilimali mwisho wa siku Marekani lazima ashinde haijalishi itachukua miongo mingapi "Is a must win game" kwao.

Tazama yanayoendelea N.Korea bwana Kim anachezea akili kama Toy na hizi nchi mbili mwisho wa siku atajikuta anaruhusu uwepo wa majasusi wa Kirusi nchini mwake ambao watauwa kabisaa nguvu yake ya kutengeneza Silaha za nuclear hili litafanywa na marekani kupitia mgongo wa mrusi.

Usije ukadanganyika hata siku moja kuwa Russia na Marekani ni maadui hawa jamaa wana interest zao za hatari sana mfano Russia anailinda sana Israel kwa uwepo wake nchini Syria anampa hadi upenyo wa kufanya mashambulizi na kutoka salama.
 
Usije ukadanganyika hata siku moja kuwa Russia na Marekani ni maadui hawa jamaa wana interest zao za hatari sana mfano Russia anailinda sana Israel kwa uwepo wake nchini Syria anampa hadi upenyo wa kufanya mashambulizi na kutoka salama
Upo sahihi kabisa mkuu. Hii ni syndicate kubwa kati ya mataifa haya mawili na wamefanikiwa kuihadaa dunia kuwa wanapingana
 
Marekani na Russia ni Mastermind country na China naona anaunga juhudi.

Nchi nyingi za kiafrika ambazo ni za waarabu wanamuamini Urusi kupita maelezo Syria kashakaliwa kabisaa sasa nini kinafanyika Marekani anaanzisha uchokozi na taifa lolote lile hata lisilo la kiarabu kama Venezuela alafu Russia anakuwa tofauti na marekani wakati Dunia inaaminishwa kuwa hawa watu si wamoja wanapingana wanachota Rasilimali mwisho wa siku Marekani lazima ashinde haijalishi itachukua miongo mingapi "Is a must win game" kwao.

Tazama yanayoendelea N.Korea bwana Kim anachezea akili kama Toy na hizi nchi mbili mwisho wa siku atajikuta anaruhusu uwepo wa majasusi wa Kirusi nchini mwake ambao watauwa kabisaa nguvu yake ya kutengeneza Silaha za nuclear hili litafanywa na marekani kupitia mgongo wa mrusi.

Usije ukadanganyika hata siku moja kuwa Russia na Marekani ni maadui hawa jamaa wana interest zao za hatari sana mfano Russia anailinda sana Israel kwa uwepo wake nchini Syria anampa hadi upenyo wa kufanya mashambulizi na kutoka salama.
Nimependa comment yako
 
Back
Top Bottom