Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,420
- 33,982
Je, dunia inaambiwa ukweli wote kuhusu mzozo wa Iran, Marekani na Israel?
Katika uchambuzi huu mzito kutoka Kutoka Maktaba ya Mohamed Said, tunaingia ndani ya siasa za Mashariki ya Kati na kuangalia maswali ambayo mara nyingi hayapewi nafasi ya kutosha katika mjadala wa kimataifa.
Profesa Marandi anaonya nini kuhusu uwezekano wa mashambulizi mapya?
Na iwapo mzozo utaongezeka, Saudi Arabia, Qatar, Bahrain na mataifa mengine ya Ghuba yanaweza kujikuta katika mazingira gani ya kisiasa na kiusalama?