Chadema yenyewe imejaa unafiki na kufukuzana,kwa stahili hii bado hakuna chama mbadala.Na watanzania hatuwezi kuruka mkojo tukakanyaga kinyesi japo vyote ni uchafu.
wewe ukila huwa unakusaidia dada yangu eeh
ha ha ha ha ngoja kutulie nitoe msimamao wangu
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga
please usiutangaze sasa unaweza kufungiwa...subiri nec watangaze kwanza
Nalo litakuwa upepo tu. Litatulia :tongue:ukitulia navumisha langu
Waislam wa CCM ni wauaji kabisa. Mnataka kumuua Lowassa kwa sababu ni Mkristo?
nna waswas na ww kama sio gasho
Khaa!! Mida8 hapa umekosea. Hayo ndiyo yanayojadiliwa na watanzania wengi kuliko unavyofikiri. Si wengi wanaopoteza muda wao kufikiri hali ya uchumi kama inapanda au inashuka, kuangalia upepo wa vyama na wanasiasa unavyovuma. Na hao ndiyo wapiga kura walio wengi. Pitia uswazi uone yanavyogombewa haya magazeti kuliko hata Tanzania Daima :A S-baby:Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga
Upepo tu litapita kutatulia!!what?
Yaani Gazeti hili ukienda ukurasa wa tatu utakuta elimu ya unajimu,kisha jinsi ya kujiunga na Freemasons mwisho kwenye habari za michezo wanajadili taulo alilotundika kipa wa Simba siku ya Mechi ya Simba na Yanga
Ndio maana Nyerere aliwachinjilia mbali wavaa vipedo kwa kuifutilia mbali mahakama ya KADHIA