Baba V mi nilishasema sina haja ya kurumbana na haka kajamaa ka kihaya.....nimeamua kuwa mtekelezaji na niliamua kuanza na kumchukua The secretary coz nahisi yuko juu sana kuliko wake zangu wote ispokuwa Amyner
So we endelea kurumbana wakati mi nakula raha na ex-wifw wa [MENTION=11167]Bishanga[/
MENTION] ambaye kwa sasa nimembadili jina na kumuita My Secretary
Hahahaaaaa kwani unadhani mi niko upande wako Bishanga ?we Erickb52 acha kiherehere ka mfuko wa shati,hizo like' kwa wananikandia unagonga za nini?
when nothing goes right,go and fight bishanga!
hahahaha
lawai dena amsi, agaqataa? An kii slaa. Allo...
Wapendwa wana Chit-Chat wote, bila kujali mitazamo na mapenzi ya watu, nimeamua kutangaza VITA rasmi na kiumbe mmoja anaejiita Bishanga kwa sababu maalumu na naomba wapenzi wake mnielewe na marafiki zake mtambue,nilisha mPM notes ya mwezi mmoja kuhusu kusudio langu,hivyo hatua niliofikia anaitambua fika bila mashaka yoyote,.
Sababu za kufikia uamuzi huu ni kama ifuatavyo,
1.Ana majigambo na kujiona yeye ni bora kuliko member mwingine yeyote na nyie ni mashahidi,
2.Ana wivu na hataki kuona wenzie wakifanikiwa, matokeo yake amekuwa anapiga majungu kuhusu Erickb52 Baba V, Kaizer Judgement ruttashobolwa,@Aspirin, dogo Ronn M na Mtalingolo, ili wakosane na wapenzi wao,
3. Kajitangaza yeye ndo tajiri namba moja ilhali si kweli, kisa awarubuni our loves, kesho naleta ushahidi zaidi, Bishanga, this is war!!!HUYU lazima anyooke,afu hakuna ushahidi ambao mtu hataweza kuukana kama ushahidi wa picha!
Hahahaaaaa kwani unadhani mi niko upande wako Bishanga ?
Mi nakupa hongera za kuwa Tanzanite member ila nakupa pole kukupora The secretary
wenye wivu wajinyonge,
wenye wivu wajinyonge,
chambua kama karanga,
chambua kama karanga,
baba vii ajinyonge,
baba vii ajinyonge.
bishanga ni fungu la kupata,
kwi kwi kwi kwi...
source: saida kalori
Asalimike wapi mkuu ?
Kwanza mkwanja kaishiwa, pili sina hakika kama kabaki na mke hata mmoja!
Mtangulizie pole zangu !
habari ya samunge? babu hajambo?mwenye kisu kikali ndo hula nyama mkuu!Wewe unanichukulia poa eeh! utaona!
vin,huogopi kupigwa 'misumari'?
naanza kupata hisia kuwa unachosema ni kweli maana tangia TS aniage anakwenda guanzhou si simu wala e mail,kimya kabisaaaa.Heheheheeeee Bishanga nashukuru sana kwa kuwa sasa niko mikononi mwa The secretary naenjoy maisha na chewhite
naona unambembeleza sana
unataka akupikie quante au una mengine.
naanza kupata hisia kuwa unachosema ni kweli maana tangia TS aniage anakwenda guanzhou si simu wala e mail,kimya kabisaaaa.
shikamoo mke wangu eer, ah unanajua eer najifunza tu maluga za watu. Kuna jamaa aliniambia niandike hivo eti ndio "mambo vipi shemeji?" umeelewaee