Vita mbaya inaendelea Wilayani Kiteto

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Habari zilizonifikia ni kwamba mpk hivi kuna watu watatu wameshauawa baina ya wakulima na wafugaji.

Mapigano haya yameanza tangu jana na mpaka sasa yanaendelea.

HABARI MBAYA SANA HII.

Mapigano haya yanaendea katika kijiji kiitwacho Poripori.
 
mapigano haya hayakuanza bahati mbaya viongozi wa ccm na polisi ni waasisi wakubwa,utakumbuka kilosa
 
Habari zilizonifikia ni kwamba mpk hivi kuna watu watatu wameshauawa baina ya wakulima na wafugaji.

Mapigano haya yameanza tangu jana na mpaka sasa yanaendelea.

HABARI MBAYA SANA HII.

Mapigano haya yanaendea katika kijiji kiitwacho Poripori.

Poripori ndio wapi? Tulia uandike uzi uliokamilika!
 
Kwa mapya yananifikia ni kwamba kwa ujumla hali si nzuri hata kidogo.
 
Naibu spika na yule mkuu wa wilaya ambaye ni mbunge wa viti maalum wanajua chanzo chake vizuri. Na wao ndo wenye uwezo wa kulitatua tatizo. Hebu waende mara moja.
 
Mabomu ya machozi na virungu hutumika ktk mikutano ya vyama vya upinzani tu, haviwezi kutumika huku kuokoa watu na mali zao..!?
 
Naibu spika akiri mauji hayo kutokea na anakiri yametokea kwa sababu ya ukabila.
 
Back
Top Bottom