Vita ina hasara pande zote mbili

Vita ina hasara pande zote mbili

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,468
Reaction score
5,022
Tuliongopewa sana na wayahudi kutoka Msomela, Kazulamimba, mto wa mbu kwa taifa teule haliwezi kupigwa. Naona mambo yamekuja muda muafaka ambao kila mmoja wetu alijaliwa uhai amejionea mwanaume mmoja kuchakaza kichaka kinasomwe, kinachoimbwa kwamba hakiwezi kupigwa kwakuwa wao taifa teule.

Ndugu zetu endeleeni kuamini mafuta ya manabii wenu, Chumvi ila Irani imeonyesha kwamba ni uongo kwa kile mlichokua mna amini.

Siku 8 tu watu wamekuwa hoi kila upande, sio upande wa America wala Israel moto ulifika ulipohitajika.

Hivyo wayahudi wa kivule, madaba, ni muda sasa kuachana na kauli mbiu yenu ya kwamba taifa teuli halipigwi, ukweli usiopingika mtu shoga na mwanaume kamili hata wakikata miti tu lazima utaona utofauti wao, hivyo tuendelee kuheshimu mwanaume aliekamilika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom