Vita dhidi ya madawa ya kulevya, Tindu Lissu akamatwa (K24TV - Kenya)

From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
2,076
3,804
Nimeikuta hii taarifa ya upotoshaji iliyorushwa tarehe 8, Januari na kituo cha K24TV nchini Kenya. Tizama dakika 0.49

Vyombo vya habari inabidi viwe maakini kuhakiki taarifa zake. Nashauri Tindu Lissu, awasiliane nao ili wasahihishe hii taarifa.
 
Attachments

  • Tanzania war on drugs.mp4
    7.1 MB · Views: 57
Nimeikuta hii taarifa ya upotoshaji iliyorushwa tarehe 8, Januari na kituo cha K24TV nchini Kenya. Tizama dakika 0.49

Vyombo vya habari inabidi viwe maakini kuhakiki taarifa zake. Nashauri Tindu Lissu, awasiliane nao ili wasahihishe hii taarifa.

Tar 8 February na wala si tar 8 January. Kabla ya kuwasahihisha waandishi wa Kenya jisahihishe kwanza ww kwa taarifa yako.
 
Huenda hawajakosea kwa maana kwamba Kenya sii tu mariporter kama wabongo. Wanafanya pia kuripoti matukio ya kiuchunguzi.
Swala hili la madawa ya kulevya limefanywa kwa malengo ya kisiasa. Sasa kwa sababu wenye kubuni na kutekeleza huu mkakati walipanga kumkamata mh Lissu kabla ya kuwataja wanasiasa ili kuzima mtu atakaepiga kelele akiwa na wazo mbadala la ukosoaji. Lissu ni miongoni mwa kioo cha jamii wachache.
 
Duh, jamaa asipowashtaki basi watakuwa wametuwahishia orodha ya mapapa wa awamu ya tatu inayosadikika kuna hata mawaziri!
 
Labda walihisi kipindi hiki ni msimu wa madawa ya kulevya kwahiyo hata wakiona jua linawaka watasema jua la madawa ya kulevya,yaani wakisikia mtu kashikiliwa na polisi tuu hawahoji bali wanahusisha na madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom