Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya: JamiiForums na wanachama wake wanaongoza!. Lets Be More Proactive!

Hilo ni tatizo la watz walio wengi. Tena kwenye hii mitandao ya kijamii, ntakushangaa sana kama unapinga.

Monges

Tunapokuwa wengi lazima tutofautiane

tofauti ya hoja ni nzuri.....lakini yakishabiki nimbaya sana.....no reality nor evidence.
 
Wanabodi,
Kwenye hii vita ya madawa ya kulevya iliyopamba moto baada ya kupata chachu mpya toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda , nimepata fursa kupitia mabandiko ya wana JF wengi.

Kama serikali ingekuwa inatoa tuzo kwa taasisi mbalimbali zilizo mstari wa mbele katika vita hii, ni pamoja na Mtandao huu wa JamiiForums, umeweka thread maalum kupiga vita madawa ya kulevya, na kuifanya sticky.

JamiiForums most of the times JF tumekuwa very active as a passive whistle Blower, sasa tuwe more proactive kwa wana JF kujitokeza kumsaidia Makonda, Mwigulu na Jeshi letu la Polisi kusaidia any info we have kupitia michango ya wana JF humu. I don't know how we can achieve this, bali tusiishie kusema tuu, kama tunaweza kutenda, pia tutende no matter how little it might be, but let's do something.

Mfano hata tuki print tuu mabandiko kuhusu Madawa ya kulevya na kutoa Hard Copy 10 tuu, it's not nothing, it is something.

Hizo Copy 10 za kwanza zitue Kwenye meza za hawa wafuatao
1.Rais wa JMT
2.VP
3.PM
4.Waziri wa Mambo ya Ndani.
5.IGP
6.Director wa TISS
7.Director wa Immigration
8.Director wa PCCB
9.Director wa Tume ya Madawa
10. Paul Makonda.

Hongera sana, Mike, Max na wana JF wengine wote mnaochangia vita hii, let's keep fighting hata kama mchango wetu hauonekani, ila tunajiwekea akiba nzuri sana ya good karma ambayo ina thamani kubwa kuliko tuzo yoyote.

Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali.

NB: Usisahau kupitia hii thread=>Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Pascal Mayalla Said;
Nikiwa mwandishi wa newsroom wakati huo nikiishi Ilala, nikapangwa kusafiri na Mkapa Sweden, US na UK, three days kabla ya safari majira ya saa 3:00 nikatembelewa na ugeni wa jamaa wawili, mwanamke na mwanaume. Wakajitambulisha na kunieleza nía ya ugeni wao.

Kiukweli nilishangaa jinsi walivyojua niko kwenye msafara, ndipo wakanijulisha mizigo yetu yote inapelekwa Ikulu siku moja kabla ya safari na haikaguliwi inasafirishwa under a diplomatic bag. Wakaniomba niwabebe parcel yao, kuwa ndiyo the safest way na kila siku ndio zao! . Fungu nililotajiwa sikuamini. Kiukweli roho ilinidunda, bulungutu limetolewa na kuwekwa mezani ni mshahara wa zaidi ya miaka 10 ya kiwango changu!.

Kiukweli niliogopa, what if itajulikana?!. Wakanihakikishia its never na wengine wote wanabeba! . Kiukweli niliogopa nikawaambia siwezi! . Jamaa walinishawishi sana mwisho wakakasirika na kuondoka kwa hasira huku wakinilaani nitakufa masikini!. Pia walinionya nikisema popote hata kwa mke wangu, wao watajua na kitakachonifika sitaweza kusimulia! .

Nikasafiri na msafara na kweli a day kabla ya safari mizigo ni Ikulu na siku ya kurudi inakabidhiwa hotelini unakuja kuipokelea Ikulu a day baada ya kurudi.

Kiukweli tukiwa huko majuu ndipo nikashangaa wenzetu wanavyofanya mi shopping ya nguvu, umasikini wa Tanzania unajulikana, mishahara ya serikali ya enzi hizo inatilisha huruma, lakini maofisa wadogo wadogo tuu wana má jumbo suitcases mawili matatu yamejaa vitu vya thamani, nikahisi usikute ni kweli! ,hivyo kuna umasikini wa baadhi yetu ni umasikini wa kujitakia. Safari zilizofuata nikataka kushawishika, roho ikakataa, bora kuwa masikini wa kutupwa with peace of mind luliko kuwa tajiri mwenye mashaka.

That was then, ndio maana kulipoibuka tuhuma hii kuhusu China, niliuliza swali hili.
Membe amejuaje Contents za 'Diplomatic Bag'? Uwezo kukanusha kaupata wapi? - Tusidanganyane!
Paskali

Wazo zuri asee

Jambo la kushangaza, Serikali inataka kuipiga pin Jf, shame on them
 
KWAHIYO MZEE WANGU PASKALI, INA MAANA ZILE SAFARI ZA JK ZOTE NJE YA NCHI, WASAIDIZI WAKE PALE TISS WALIKUWA WANAFANYA MAMBO, SASA NIMEGUNDUA KWA YULE BOSS WA TISS ALIYEUWAWA PALE AIPORT YA DSM NA WENZAKE WA TISS, SABABU ULIKUWA NI NINI?
JPM, UKISAFIRI SAFARI ZA NJE NA WASHIRIKA WAKO, KUWA MAKINI MH. JPM....!
Hii stor ya lin mkuu..ckuwahi kuipata.ilkuajekuaje mna tz km Hollywood ckuiz
 
Mungu ndiye hujuwa ukweli wa matendo yako - wengi huogopa kubeba cargo hizo lkn hata ofisini ni wezi kwa maana ya kuzidisha siku za safari, kuchukuwa fedha kisha usiende safari, frauts nk nk nk

Dhambi si dawa ya kulevya tu!!! MRUDIENI MUNGU
 
KWAHIYO MZEE WANGU PASKALI, INA MAANA ZILE SAFARI ZA JK ZOTE NJE YA NCHI, WASAIDIZI WAKE PALE TISS WALIKUWA WANAFANYA MAMBO, SASA NIMEGUNDUA KWA YULE BOSS WA TISS ALIYEUWAWA PALE AIPORT YA DSM NA WENZAKE WA TISS, SABABU ULIKUWA NI NINI?
JPM, UKISAFIRI SAFARI ZA NJE NA WASHIRIKA WAKO, KUWA MAKINI MH. JPM....!
Mkuu Kinondoni Ilala,
Kwanza kwa vile mimi nikikataa hivyo sina proof kuwa that is the way, usikute walionifuata nao ndio ilikuwa mara yao ya kwanza na baada ya kujaribu na mimi nilipowakatalia ndio mambo yaliishia pale!. Zile shopping za wenzetu zilitokana na savings zao.

Pili kwenye misafara wa rais nje ya nchi, haihusishi maofisa wa serikali tuu, na enzi hizo kupeleka mizigo pale Ikulu ilikuwa inajipitia tuu, siku hizi ni mambo ya scanner hivyo sidhani kama mwanya wa uchochoro ule bado upo na labda ndio maana punda wanaongezeka!.

Mkuu Pascal Mayalla,
Inasemekana hata yule Boss wa TISS aliyeuwawa na vijana wake ilikuwa ni ishu ya ngada baada ya kudhulumiana...!
 
Wanabodi,
Kwenye hii vita ya madawa ya kulevya iliyopamba moto baada ya kupata chachu mpya toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda , nimepata fursa kupitia mabandiko ya wana JF wengi.

Kama serikali ingekuwa inatoa tuzo kwa taasisi mbalimbali zilizo mstari wa mbele katika vita hii, ni pamoja na Mtandao huu wa JamiiForums, umeweka thread maalum kupiga vita madawa ya kulevya, na kuifanya sticky.

JamiiForums most of the times JF tumekuwa very active as a passive whistle Blower, sasa tuwe more proactive kwa wana JF kujitokeza kumsaidia Makonda, Mwigulu na Jeshi letu la Polisi kusaidia any info we have kupitia michango ya wana JF humu. I don't know how we can achieve this, bali tusiishie kusema tuu, kama tunaweza kutenda, pia tutende no matter how little it might be, but let's do something.

Mfano hata tuki print tuu mabandiko kuhusu Madawa ya kulevya na kutoa Hard Copy 10 tuu, it's not nothing, it is something.

Hizo Copy 10 za kwanza zitue Kwenye meza za hawa wafuatao
1.Rais wa JMT
2.VP
3.PM
4.Waziri wa Mambo ya Ndani.
5.IGP
6.Director wa TISS
7.Director wa Immigration
8.Director wa PCCB
9.Director wa Tume ya Madawa
10. Paul Makonda.

Hongera sana, Mike, Max na wana JF wengine wote mnaochangia vita hii, let's keep fighting hata kama mchango wetu hauonekani, ila tunajiwekea akiba nzuri sana ya good karma ambayo ina thamani kubwa kuliko tuzo yoyote.

Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali.

NB: Usisahau kupitia hii thread=>Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Pascal Mayalla Said;
Nikiwa mwandishi wa newsroom wakati huo nikiishi Ilala, nikapangwa kusafiri na Mkapa Sweden, US na UK, three days kabla ya safari majira ya saa 3:00 nikatembelewa na ugeni wa jamaa wawili, mwanamke na mwanaume. Wakajitambulisha na kunieleza nía ya ugeni wao.

Kiukweli nilishangaa jinsi walivyojua niko kwenye msafara, ndipo wakanijulisha mizigo yetu yote inapelekwa Ikulu siku moja kabla ya safari na haikaguliwi inasafirishwa under a diplomatic bag. Wakaniomba niwabebe parcel yao, kuwa ndiyo the safest way na kila siku ndio zao! . Fungu nililotajiwa sikuamini. Kiukweli roho ilinidunda, bulungutu limetolewa na kuwekwa mezani ni mshahara wa zaidi ya miaka 10 ya kiwango changu!.

Kiukweli niliogopa, what if itajulikana?!. Wakanihakikishia its never na wengine wote wanabeba! . Kiukweli niliogopa nikawaambia siwezi! . Jamaa walinishawishi sana mwisho wakakasirika na kuondoka kwa hasira huku wakinilaani nitakufa masikini!. Pia walinionya nikisema popote hata kwa mke wangu, wao watajua na kitakachonifika sitaweza kusimulia! .

Nikasafiri na msafara na kweli a day kabla ya safari mizigo ni Ikulu na siku ya kurudi inakabidhiwa hotelini unakuja kuipokelea Ikulu a day baada ya kurudi.

Kiukweli tukiwa huko majuu ndipo nikashangaa wenzetu wanavyofanya mi shopping ya nguvu, umasikini wa Tanzania unajulikana, mishahara ya serikali ya enzi hizo inatilisha huruma, lakini maofisa wadogo wadogo tuu wana má jumbo suitcases mawili matatu yamejaa vitu vya thamani, nikahisi usikute ni kweli! ,hivyo kuna umasikini wa baadhi yetu ni umasikini wa kujitakia. Safari zilizofuata nikataka kushawishika, roho ikakataa, bora kuwa masikini wa kutupwa with peace of mind luliko kuwa tajiri mwenye mashaka.

That was then, sijui how the situation is of now, ndio maana kulipoibuka tuhuma hii kuhusu China, niliuliza swali hili.
Membe amejuaje Contents za 'Diplomatic Bag'? Uwezo kukanusha kaupata wapi? - Tusidanganyane!
Paskali

Huwa ninakuelewa sana tu Mkuu.
 
Bila shaka serikali ya ccm ilifanyie kazi maana yote yametokea ikiwa wao ndio chama tawala hapa nchini
 
Iyafanyie kazi yapi hao walaunga walioshikwa navizibiti leo wamepewa mzamana..kama kisingizio tu. lkn nikwamba wameachiwa hulu ila watafatiliwa mienendo yao.yani watu walishikwa navibiti wanaachiwa hulu halafu wanasema..eti wamewekewa zamana .yani inashanga mkuu wa mkoa huyo huyo hakimu huyo huyo..hii ichi kweli inashelia ..jana mkuu wamkowa kasema tumewaomba polici waweke chini yauangalizi kwakipindi kisicho pungua mwaka 1..nahilo ndilo lililo fanywa na mahakama..nduguzangu wapinzani acheni upinzani mtaishia jela wote maana wauza unga wanasamani kuliko nyie..nibola mkatafute kazi zingine zakufanya lkn siyo siasa...mtakwisha..acheni upinzani kwamasilahi mapanaya familia zenu
 
Back
Top Bottom