Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya: JamiiForums na wanachama wake wanaongoza!. Lets Be More Proactive!

Kuna uzi mmoja niliandika comment nilisema usalama wa taifa na polisi wanahusika na kuuza na kusafirisha madawa, kuna lijamaa lilinikomalia na kusema nitaishia segerea kwa kuwasingizia. Juzi Makonda kawataja polisi 12 pia kuna muuza ngada mmoja anamtumia mpaka mkubwa mmoja wa polisi na kumwambia kijana wako flani mpeleke sehemu flani anifanyie kazi yangu vizuri. Yupo rafiki yangu kaishia south afrika alikamatwa na yule dada mwenye makalio makubwa, Na yule aliekamatwa China (Jack) nilijua ataisha tu nilipomuona na kuna rafiki yangu mmoja muuza ngada mkubwa na lina mahela hatareee.
Nikiwa mwandishi wa newsroom wakati huo nikiishi Ilala, nikapangwa kusafiri na Mkapa Sweden, US na UK, three days kabla ya safari majira ya saa 3:00 nikatembelewa na ugeni wa jamaa wawili, mwanamke na mwanaume. Wakajitambulisha na kunieleza nía ya ugeni wao.

Kiukweli nilishangaa jinsi walivyojua niko kwenye msafara, ndipo wakanijulisha mizigo yetu yote inapelekwa Ikulu siku moja kabla ya safari na haikaguliwi inasafirishwa under a diplomatic bag. Wakaniomba niwabebe parcel yao, kuwa ndiyo the safest way na kila siku ndio zao! . Fungu nililotajiwa sikuamini. Kiukweli roho ilinidunda, bulungutu limetolewa na kuwekwa mezani ni mshahara wa zaidi ya miaka 10 ya kiwango changu!.

Kiukweli niliogopa, what if itajulikana?!. Wakanihakikishia its never na wengine wote wanabeba! . Kiukweli niliogopa nikawaambia siwezi! . Jamaa walinishawishi sana mwisho wakakasirika na kuondoka kwa hasira huku wakinilaani nitakufa masikini!. Pia walinionya nikisema popote hata kwa mke wangu, wao watajua na kitakachonifika sitaweza kusimulia! .

Nikasafiri na msafara na kweli a day kabla ya safari mizigo ni Ikulu na siku ya kurudi inakabidhiwa hotelini unakuja kuipokelea Ikulu a day baada ya kurudi.

Kiukweli tukiwa huko majuu ndipo nikashangaa wenzetu wanavyofanya mi shopping ya nguvu, umasikini wa Tanzania unajulikana, mishahara ya serikali ya enzi hizo inatilisha huruma, lakini maofisa wadogo wadogo tuu wana má jumbo suitcases mawili matatu yamejaa vitu vya thamani, nikahisi usikute ni kweli! ,hivyo kuna umasikini wa baadhi yetu ni umasikini wa kujitakia. Safari zilizofuata nikataka kushawishika, roho ikakataa, bora kuwa masikini wa kutupwa with peace of mind luliko kuwa tajiri mwenye mashaka.

That was then, ndio maana kulipoibuka tuhuma hii kuhusu China, niliuliza swali hili.
Membe amejuaje Contents za 'Diplomatic Bag'? Uwezo kukanusha kaupata wapi? - Tusidanganyane!
Paskali
 
Najiuliza hivi pwani na bahari yetu iko salama kiasi gani na hawa wauza unga? Pamoja na kutumia viwanja vya ndege tuna bahari yenye urefu mkubwa isije tumiwa vibaya na wauza unga kama wanavyotumia usafiri mwingine.
 
Wanabodi,
Kwenye hii vita ya madawa ya kulevya iliyopamba moto baada ya kupata chachu mpya toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda , nimepata fursa kupitia mabandiko ya wana JF wengi.

Kama serikali ingekuwa inatoa tuzo kwa taasisi mbalimbali zilizo mstari wa mbele katika vita hii, ni pamoja na Mtandao huu wa JamiiForums, umeweka thread maalum kupiga vita madawa ya kulevya, na kuifanya sticky.

JamiiForums most of the times JF tumekuwa very active as a passive whistle Blower, sasa tuwe more proactive kwa wana JF kujitokeza kumsaidia Makonda, Mwigulu na Jeshi letu la Polisi kusaidia any info we have kupitia michango ya wana JF humu. I don't know how we can achieve this, bali tusiishie kusema tuu, kama tunaweza kutenda, pia tutende no matter how little it might be, but let's do something.

Mfano hata tuki print tuu mabandiko kuhusu Madawa ya kulevya na kutoa Hard Copy 10 tuu, it's not nothing, it is something.

Hizo Copy 10 za kwanza zitue Kwenye meza za hawa wafuatao
1.Rais wa JMT
2.VP
3.PM
4.Waziri wa Mambo ya Ndani.
5.IGP
6.Director wa TISS
7.Director wa Immigration
8.Director wa PCCB
9.Director wa Tume ya Madawa
10. Paul Makonda.

Hongera sana, Mike, Max na wana JF wengine wote mnaochangia vita hii, let's keep fighting hata kama mchango wetu hauonekani, ila tunajiwekea akiba nzuri sana ya good karma ambayo ina thamani kubwa kuliko tuzo yoyote.

Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali.

NB: Usisahau kupitia hii thread=>Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Pascal Mayalla Said;

Mkuu Pascal, Asante sana. Mzalendo wa kweli hutenda na kuuhisi uzalendo.
 
Wakuu. Hapa mbeya eneo la mama John kwenye min bar ya mwambela panajulikana sana tu kuwa ni kituo cha !wauzaji ngada lakini pia kuna gongo inapikwa hapa mtaani na askari wa doria wanapita kuchukua pesa wakazi wa hapa mtaani, wanajua serikali ya mtaa inajua, diwani anajua, na hata afisa mtendaji anajua , lakini ukweli uliopo hapa mtaani ni kuwa askari hawa huwa wanatumwa kuja kukusanya pesa hapa na mkuu wa polisi wilaya OCD. Na wanaohusika na uuzwaji huu wanajua mpaka siku za doria na saa kwa eneo hili hivyo sio rahisi kuwakamata.!
Ukimuuliza diwani anakwambia ni biashara za wakubwa.!
Ki ukweli inaudhi mnoo.
Naamini kupitia uzi huu ujumbe huu utafika na usipofika na kuchukuliwa hatua huenda itawapasa wakazi hawa nao kwenda wizarani.
 
Asante sana Pascal, Aisee!! Ndiyo maana watu kibao walikuwa wanalaani rais kukataa kusafiri nje ya nchi!! Rais Magufuli Mungu akuzidishie uwe na maisha marefu, na endelea kuisafisha Tanzania. Mimi binafsi nakuunga mkono.
 
Makonda aache kutudanganya! Mimi Ni mjinga lakini sio kiasi hicho anacho dhani yeye! Hivi kibopa wa Unga Kweli unamtafuta kwa style hii anayo tumia?? Kweliiii???? Hahahaaaa .... Tuache unafiki jamani kila mtu anamjua paka tatizo nani wa kumfunga kengele?? Tunasikia nyauuu kushoto tunaenda kumtafuta kulia ndio game huyu Panya anayo cheza! Shame ! Namshauri tu hii style Ni nzuri kukamatia wasambaza Mirungi na walaji lakini swala la Unga Hata baba yake hawezi! Asitafute kiki Za kipuuzi!
 
Najiuliza hivi pwani na bahari yetu iko salama kiasi gani na hawa wauza unga? Pamoja na kutumia viwanja vya ndege tuna bahari yenye urefu mkubwa isije tumiwa vibaya na wauza unga kama wanavyotumia usafiri mwingine.
bahari ndo njia kuu mkuu,mzigo hapa unaoingia mkubwa na majahazi alafu hapa ndo wanapewa mapunda wadistrubute duniani kote,hiyo kwa heroin..kuna hao wahindi wanadeliver mzigo mpaka hapa...wanaingizia tanga au mtwara hayo majahazi..
 
Duuuh
 
Najiuliza hivi pwani na bahari yetu iko salama kiasi gani na hawa wauza unga? Pamoja na kutumia viwanja vya ndege tuna bahari yenye urefu mkubwa isije tumiwa vibaya na wauza unga kama wanavyotumia usafiri mwingine.
Kiongozi mwaka 2012 mwanzoni binti yake Liyumba alikamatwa bagamoyo akivusha sembe yenye thamani ya mamilioni....ile kesi sijui iliishia wapi
 
Wanabodi,
Kwenye hii vita ya madawa ya kulevya iliyopamba moto baada ya kupata chachu mpya toka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda , nimepata fursa kupitia mabandiko ya wana JF wengi.

Kama serikali ingekuwa inatoa tuzo kwa taasisi mbalimbali zilizo mstari wa mbele katika vita hii, ni pamoja na Mtandao huu wa JamiiForums, umeweka thread maalum kupiga vita madawa ya kulevya, na kuifanya sticky.

JamiiForums most of the times JF tumekuwa very active as a passive whistle Blower, sasa tuwe more proactive kwa wana JF kujitokeza kumsaidia Makonda, Mwigulu na Jeshi letu la Polisi kusaidia any info we have kupitia michango ya wana JF humu. I don't know how we can achieve this, bali tusiishie kusema tuu, kama tunaweza kutenda, pia tutende no matter how little it might be, but let's do something.

Mfano hata tuki print tuu mabandiko kuhusu Madawa ya kulevya na kutoa Hard Copy 10 tuu, it's not nothing, it is something.

Hizo Copy 10 za kwanza zitue Kwenye meza za hawa wafuatao
1.Rais wa JMT
2.VP
3.PM
4.Waziri wa Mambo ya Ndani.
5.IGP
6.Director wa TISS
7.Director wa Immigration
8.Director wa PCCB
9.Director wa Tume ya Madawa
10. Paul Makonda.

Hongera sana, Mike, Max na wana JF wengine wote mnaochangia vita hii, let's keep fighting hata kama mchango wetu hauonekani, ila tunajiwekea akiba nzuri sana ya good karma ambayo ina thamani kubwa kuliko tuzo yoyote.

Nawatakia Jumapili Njema.
Paskali.

NB: Usisahau kupitia hii thread=>Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

Pascal Mayalla Said;
Nikiwa mwandishi wa newsroom wakati huo nikiishi Ilala, nikapangwa kusafiri na Mkapa Sweden, US na UK, three days kabla ya safari majira ya saa 3:00 nikatembelewa na ugeni wa jamaa wawili, mwanamke na mwanaume. Wakajitambulisha na kunieleza nía ya ugeni wao.

Kiukweli nilishangaa jinsi walivyojua niko kwenye msafara, ndipo wakanijulisha mizigo yetu yote inapelekwa Ikulu siku moja kabla ya safari na haikaguliwi inasafirishwa under a diplomatic bag. Wakaniomba niwabebe parcel yao, kuwa ndiyo the safest way na kila siku ndio zao! . Fungu nililotajiwa sikuamini. Kiukweli roho ilinidunda, bulungutu limetolewa na kuwekwa mezani ni mshahara wa zaidi ya miaka 10 ya kiwango changu!.

Kiukweli niliogopa, what if itajulikana?!. Wakanihakikishia its never na wengine wote wanabeba! . Kiukweli niliogopa nikawaambia siwezi! . Jamaa walinishawishi sana mwisho wakakasirika na kuondoka kwa hasira huku wakinilaani nitakufa masikini!. Pia walinionya nikisema popote hata kwa mke wangu, wao watajua na kitakachonifika sitaweza kusimulia! .

Nikasafiri na msafara na kweli a day kabla ya safari mizigo ni Ikulu na siku ya kurudi inakabidhiwa hotelini unakuja kuipokelea Ikulu a day baada ya kurudi.

Kiukweli tukiwa huko majuu ndipo nikashangaa wenzetu wanavyofanya mi shopping ya nguvu, umasikini wa Tanzania unajulikana, mishahara ya serikali ya enzi hizo inatilisha huruma, lakini maofisa wadogo wadogo tuu wana má jumbo suitcases mawili matatu yamejaa vitu vya thamani, nikahisi usikute ni kweli! ,hivyo kuna umasikini wa baadhi yetu ni umasikini wa kujitakia. Safari zilizofuata nikataka kushawishika, roho ikakataa, bora kuwa masikini wa kutupwa with peace of mind luliko kuwa tajiri mwenye mashaka.

That was then, ndio maana kulipoibuka tuhuma hii kuhusu China, niliuliza swali hili.
Membe amejuaje Contents za 'Diplomatic Bag'? Uwezo kukanusha kaupata wapi? - Tusidanganyane!
Paskali

paskali nikuulize kidogo (don't take it personal) unaamini kabisa kwa roho safi pasina shaka kwamba huyo mkuu wa mkoa na huyo mwigulu wapo na nia ya dhati kupambana vita ya madawa kulevya? kuweka wasanii wawili watatu kina wema sepetu detention ndio kunakuaminisha hilo?
 
Yani mleta mada hadi leo hii bado unaamini viongozi wa nchi hii hawawajui wauzaji wa madawa ya kulevya.Rais aliyestaafu alisema anayo sasa sisi tuwape taarifa gani zaidi!!
 
Back
Top Bottom