Vita Dhidi ya Dawa Za Kulevya: Makonda Anapaswa Kuhojiwa!

Watu wengi hawafahamu kuwa nadharia husikika vizuri lakini hali halisi inataka uzoefu! Uzoefu umeonyesha kuwa kukamatana kimya kimya huishia kuachiana kimya kimya! Drug dealers hawaogopi kufahamika maana tayari wanafahamika! Wanachoogopa ni kutajwa hadharani! Ndio maana baada ya zoezi la kuwataja kusitishwa sasa wanaweza kupata usingizi! Na huo ndo mwisho wa effective war on drugs!
Umerogwa, na aliyekuroga keshakufa.
 
Makonda in RC was Dar na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa,nini kilichomzuia asiendelee kutangaza majina ya Watuhumiwa wa Dawa za kulevya?
 
Dah! Sijaipitai sheria ya mwaka 2015 lakini ambayo ilikuwa inatamalaki mtumiaji nae anayo hatia!

First scenario ni pale mtu anakamatwa kabisa na dawa za kulevya lakini kutokana na udogo wa kiasi kilichokamatwa, inashawishi kuamini kwamba hicho ni kwa matumizi binafsi na sio kuuza! Wakati mwingine sheria inaweza kukutaka uthibitishe kwamba unatumia mwenyewe!

Katika mazingira kama hayo, mtuhumiwa anaweza kuhukumiwa kwenda jela (nadhani 5 years) au faini ya vilaki kadhaa!!!

Kwa upande mwingine, kutokana na vile Hakimu anavyomuona mtuhimiwa; anaweza kuamua kwamba huyu badala ya kufungwa basi apelekwe sober house ili akapate tiba na sio kumfunga! Kwa mfano, yule Chid Benzi wa sasa hata ukimpiga faini ya laki 3 sidhani kama anaweza kulipa! Lakini kutokana na jinsi alivyoathirika sana, kushindwa kwake kulipa hakuwezi kumfanya hakimu ampeleke jela bali anaweza ku-opt apelekwe sober house!!!! Hapo ndipo linapoingia suala mtu kama Ray C wa JK! Yule hata kama angekuwa amefikishwa mahakamani, bado kuna uwezekano hakimu akitoa hukumu ya yeye kupelekwa sober house.
uko sahihi mtaalam lakini ni muhimu wabobezi wa mambo haya mkatuletea hapa hiyo sheria ili tuache kufikiri 'ndani ya boksi'.
 
Suala la Makonda na madawa ya kulevya ilikuwa ni "spinning" tu!!! Wala hawakuwa serious na kutokomeza hili suala!!!
 
Makonda in RC was Dar na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa,nini kilichomzuia asiendelee kutangaza majina ya Watuhumiwa wa Dawa za kulevya?
Ubavu huo aupate wapi wakati boss wake ameshapigilia msumari wa mwisho!!
 
Back
Top Bottom