Vita dhidi ya Corona aungwe mkono Prof. Bisanda

mkuu kaa ivyo ivyo subiri kauli ya serikali
... mbona hao wanaochukua hatua bila kusuburi kauli za serikali mnawapa warning? Kama mmeamua wananchi wachukue hatua wenyewe bila kusuburi maelekezo au kauli za serikali basi serikali nayo ikae kimya wananchi wanavyofanya hivyo badala ya vitisho! Vigeugeu sana ninyi.
 
Wasomi wenye vyeti halisi huwa wako transparent sana ila wale wababaishaji ndiyo kama huyo anayepinga, tuwaunge mkono wasomi wanaojitambua
... intellectual hahitaji kuongea zaidi ya sentensi moja kwa lugha ya kawaida (common man's language) kueleweka! Ila wababaishaji! Lahaulaaah! Hadi ufafanuzi utatolewa na wasaidizi na media zote ili "waeleweke".
 
Akwende zake Tanzania haina corona kwani kabla ya Corona watu walikua hawafi tuacheni uzwazwa mi napenda sana msimamo wa rais kuliko kuzua taharuki kwenye jamii watu wa ulaya wenyewe walikuja kujifunza kwetu kuikubali Corona na kuishi nayo saizi wana kampeni ya corona the new normal so hakuna haja ya kuzua taharuki corona itakuwepo kama TB na UKIMWI haitatumaliza ila wale wazembe watakufa.
Hujaondokewa na mtu wa karibu wewe.
 
... mbona hao wanaochukua hatua bila kusuburi kauli za serikali mnawapa warning? Kama mmeamua wananchi wachukue hatua wenyewe bila kusuburi maelekezo au kauli za serikali basi serikali nayo ikae kimya wananchi wanavyofanya hivyo badala ya vitisho! Vigeugeu sana ninyi.
chukua hatua lakini usizue taharuki kwa wengine sasa wewe umemfuma mke wako anachakatwa utaenda kuweka matangazo kwenye mi stimu ya umeme au utachukua hatua kimya kimya au nayo unasubili tamko la serikali
 
1612967951226.png

😂😂Mke anachakatwa

🤣🤣Matangazo kwenye mstimu

You have made my day
 
Akwende zake Tanzania haina corona kwani kabla ya Corona watu walikua hawafi tuacheni uzwazwa mi napenda sana msimamo wa rais kuliko kuzua taharuki kwenye jamii watu wa ulaya wenyewe walikuja kujifunza kwetu kuikubali Corona na kuishi nayo saizi wana kampeni ya corona the new normal so hakuna haja ya kuzua taharuki corona itakuwepo kama TB na UKIMWI haitatumaliza ila wale wazembe watakufa.
Unafaa sana kupigwa mtungo kwa haya maneno yako
 
Ijapo sijasoma alichokiandika huyu profesa,ila kama alitaka kutuambia kuwa corona ipo,na kutaka kuanza kutishana,simuungi mkono hata kidogo.

Ni ugonjwa mbaya zaidi ya kuua,unaleta unnyanyapaa wa hali ya juu.Yeye kama hamuamini Mungu achukue tahadhari.Kuna watu hata akiamua kuchukua tahadhari wala hataweza kutokana na uhalisia wa gharama zinazotakiwa.Ni muujiza tu wa Mungu unaotuacha salama.

Kuchukua tahadhari kwa kuvaa barakoa za vitenge ni sawa na kugeuka waigizaji wa bongo muvi.Huwezi kuifanyia maigizo corona ikakuacha.Unless unaiona corona kama mungu anayestahili kuabudiwa kwa kuvaa barakoa zozote
Wewe unamuamini Mungu? Kwa nini unachukuwa tahadhari kwenye magonjwa mengine? Ukitokea mlipuko wa kipindupindu huwa huzingatii usafi bali unamtegemea Mungu pekee?
 
sasa serikali ikitoa tamko virusi ndio vitakimbia acha umbugila mkuu we chukua hatua kimya kimya kula buyu
Mimi nishachukua hatua kimywa kimywa kwa kuwa nimepata taarifa kupitia mitandaoni ya jamii, tuliongelee kundi kubwa la watu wasiokuwa na access ya mitandao ya jamii?
 
Hakuungwa mkono Bisanda. Bashiru naye katelekezwa.

Tuko kama tumerogwa.
 
Back
Top Bottom