Vita baridi ya chanjo za Covid 19 imeanza

Vita baridi ya chanjo za Covid 19 imeanza

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
"Vita baridi" ya chanjo za Covid 19 imeanza:

1. Uingereza wana chanjo ya kwao.

2. Marekani wana chanjo ya kwao.

3. Urusi wana chanjo ya kwao.

4. Uchina wana chanjo ya kwao:

5. India (yenye watu zaidi ya bilioni, imesema itanunua kwa Mwingereza (ambao ni ushindi au zawadi ya kwanza tangu wajitoe Umoja wa Ulaya).

6. Shirika la Afya Duniani (WHO) limeamua kwenda upande wa Marekani "kwa ajili ya chanjo kwa nchi masikini".

7. Washawishi (lobbyists) wataanza kuzisumbua nchi masikini ktk kupigania soko hili jipya.

#YanguMacho
 
Mwisho wa siku USA atawin ila watakubaliana kugawana masoko Kama wakivyofanya siku zote tangu enzi zile za kusanyiko la Berlin
 
Uingeleza na EU tayari wamethibitisha ya USA
How⁉️, mbona u skochi wao wame approve mbili⁉️, kwanini wadhibitishe ya USA‼️‼️⁉️⁉️⁉️, WHY⁉️, why‼️‼️‼️⁉️⁉️
 
Biashara ya Afya ya binadamu ina replace biashara ya Silaha Dunian
Mkuu vipi swala ya chanjo ya UKIMWI ? Au UKIMWI wameamua kufanya biashara ya Dawa pekee hadi mwisho wa Dunia.
 
Back
Top Bottom