Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
Na china je? Yeye haangalii?!
ulizia kuhusu vietnam na korea
Na china je? Yeye haangalii?!
Wewe na Marekani kwani walikupa mke maana huwa unawashabikia sana hadi inakua kero.
If the US starts the war, China will ask for a trillion dollars the US owes her and the war will be over.
Huwa nakuheshimu sana kwa hoja zako murua, lakini sometimes wewe huwa kichwa nazi sijui mwezi mwandamo? Sikiliza historia ndo mambo yote walikuwepo wayunani, wagiriki, dola ya rumi, Ottoman Empire , Viking , waingereza to name few hawa wote wametikisa , na wengine wamekuwa masuper power , where are they now? Muda wao uliisha and so as USA whether you like or not and it is just around the corner swallow it pig
Huyu jamaa sijui kwa nini mnamsifia.
Kuna sehemu ka-comment USA baby!...Hizo akili kazitoa wapi mi namuona chizi kabisa huyu mtu ana mahaba na marekani mpaka anakera.
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo huyu jamaa kawa ----- kabisa na hiyo Marekani.Wakati mwingine ana-pretend kama Muamerika wakati ni m-tz.
Lijinga kweli kila saa Marekani marekani kuna mijitu mipumbavu sana.
很好,谢谢关心
Utakula wapi wewe omba omba?