Vita baina ya China na Marekani haviepukiki

Vita baina ya China na Marekani haviepukiki

Jamani tuwe wakweli, wapi mchina kapigana vita? Hadi leo anamgwaya mjep. USA smekuwa akitia adabu wanaohatarisha maslahi yake - kijeshi au kiuchumi. Hivi ni nani gwiji (giant) wa uchumi duniani sasa hivi?

gwiji wa uchumi duniani sa hv ni china
 
Jamani tuwe wakweli, wapi mchina kapigana vita? Hadi leo anamgwaya mjep. USA smekuwa akitia adabu wanaohatarisha maslahi yake - kijeshi au kiuchumi. Hivi ni nani gwiji (giant) wa uchumi duniani sasa hivi?

Japan umeenda mbali mno.

Taiwan tu hapo Mchina hawezi kupagusa maana anaujua muziki wake.
 
Japan umeenda mbali mno.

Taiwan tu hapo Mchina hawezi kupagusa maana anaujua muziki wake.

Taiwan nao wako vzur kjesh juzjuz kuna sehem nlsoma wanatak kutengeza air defenc yao kucounter stealth jet za china
 
Taiwan waliuziwa Vifaa vya kijeshi na USA China alimind sana ila ndo hivyo hawezi fanya kitu kama Windows kashindwa tengeneza atafanya nn
 
Wewe na Marekani kwani walikupa mke maana huwa unawashabikia sana hadi inakua kero.

Wewe na Obama kwani ni bwana wako? Maana huwa unamshobokea sana. Karambe koni yake basi halafu ujipige selfie uje uibandike humu tukuone. Sawa?
 
marekani kila mahali anataka kuharibu,mambo ya asia yanamuhusu?,acha achapwe maana sasa tumechoka
 
Wewe na Obama kwani ni bwana wako? Maana huwa unamshobokea sana. Karambe koni yake basi halafu ujipige selfie uje uibandike humu tukuone. Sawa?
Mama weeeee,hii kali,hii kiboko haa haa haaaaa duuuuuh.
 
If the US starts the war, China will ask for a trillion dollars the US owes her and the war will be over.
 
Japan umeenda mbali mno.

Taiwan tu hapo Mchina hawezi kupagusa maana anaujua muziki wake.

Daaaah, kumbe hata Taiwan ni tishio kwa Uchina! Actually akina Hun, Jintao, Kum bado sana kufikia uwezo wa kupigana vita na USA kwa sasa.
 
(1)Recent visit of Joh Kerry to China, His Chinese counterpart Wang Yi, insisting that China would safeguard its sovereignty and territorial integrity “as firm as a rock.China has warned it will use its Millitary strategy to defend its interests.China has the freedom to conduct its navigation activities along South China Sea.

2)Stupid US flights endangered the security of China's territorial waters and that the freedom of navigation and overflight does not mean foreign military vessels and aircraft can violate other nations' territorial waters and airspace.

3)What is driving the provocative actions of US imperialism in Asia and around the world is the determination to use its still formidable military force to stem its historic decline.

4)Just wait for what will be coming soon from china,China will establish Air defense Identification zone(ADIZ) along South China Sea,Sasa huyo US and its allies alete kimbelembele
atashika adabu yake.Mwaka 2013 when Chinese established ADIZ along Senkaku/Diaoyu islands adabu ikawepo hadi Leo wakipitisha vindege vyao lazima waombe ruhusa
na husipoomba utadunguliwa.

THIS IS HOW THE CHINESE DRAGON WILL BEAT THE US EAGLE ImageUploadedByJamiiForums1432631937.789712.jpg

CHEERS LET ME HAVE MY LOVELY DRINK.
 
Japan umeenda mbali mno.

Taiwan tu hapo Mchina hawezi kupagusa maana anaujua muziki wake.

1)Acha ujinga wewe unajua nini,kwenye WW2 Japan ilipigwa na China na Sasa hivi kashampita kiuchumi.
2)Kama hujui Taiwan is in Republic with China Kama Tz ilivyo in republic with Zanzibar.Kadanganye wenzio wenye green card.Anayemuweza Taiwan ni US au CHINA ambaye yupo naye kwenye muungano.Low thinking and analysis capacity.
 
compared to which country.!!! US hegemony is coming to the end.

Mkuu hilo halina ubishi. Kuna hii kitu ya Mchina inaitwa Tianhe-2 Supercomputer hadi sasa inatesa. Anayeweza aitafute. Hizi ndo dalili za USA kupata changamoto kila sekta. Hata haya anayofanya huko South China Sea ni containment ambayo haitamsaidia chochote. It is almost too late.
 
Na vikianza vita baina yao itakuwa ni uthibisho ya ile hofu yetu kwamba mwisho wa dunia ukaribu. Hiyo itakua vita ya dunia maana kila upande una anaemuunga mkono.
 
Back
Top Bottom