for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,397
- 4,444
huyo mchina wako hansaidii chochote
mkuu geuza nguo yako usome lebo huwez kununua brand ya nguruwe wanabei kwelikweli labda mtumba tu zen utajua kibongobongo kimtindo wanatusave lyf
huyo mchina wako hansaidii chochote
1)Acha ujinga wewe unajua nini,kwenye WW2 Japan ilipigwa na China na Sasa hivi kashampita kiuchumi.
2)Kama hujui Taiwan is in Republic with China Kama Tz ilivyo in republic with Zanzibar.Kadanganye wenzio wenye green card.
Anayemuweza Taiwan ni US au CHINA ambaye yupo naye kwenye muungano.Low thinking and analysis capacity.
Compared to the rest of the world. Mengine ni wishful thinking tu. You could be right or you could be wrong.compared to which country.!!! US hegemony is coming to the end.
Huwa nakuheshimu sana kwa hoja zako murua, lakini sometimes wewe huwa kichwa nazi sijui mwezi mwandamo? Sikiliza historia ndo mambo yote walikuwepo wayunani, wagiriki, dola ya rumi, Ottoman Empire , Viking , waingereza to name few hawa wote wametikisa , na wengine wamekuwa masuper power , where are they now? Muda wao uliisha and so as USA whether you like or not and it is just around the corner swallow it pigAnd what's your point?
Taiwan inajitegemea. Haipo chini ya China.
The problem of using your ass to think.
Huwa nakuheshimu sana kwa hoja zako murua, lakini sometimes wewe huwa kichwa nazi sijui mwezi mwandamo? Sikiliza historia ndo mambo yote walikuwepo wayunani, wagiriki, dola ya rumi, Ottoman Empire , Viking , waingereza to name few hawa wote wametikisa , na wengine wamekuwa masuper power , where are they now? Muda wao uliisha and so as USA whether you like or not and it is just around the corner swallow it pig
Aise ndoto wakati mwingine zinasaidiaThe US of A is the world's only super power.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:.
Aise ndoto wakati mwingine zinasaidia
Nakuelewa sasa kumbe ulishaukana uraia wa Tanzania , kila kheri mabox mema na kazi za usiku nyingiUSA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Nakuelewa sasa kumbe ulishaukana uraia wa Tanzania , kila kheri mabox mema na kazi za usiku nyingi
mkuu geuza nguo yako usome lebo huwez kununua brand ya nguruwe wanabei kwelikweli labda mtumba tu zen utajua kibongobongo kimtindo wanatusave lyf
mkuu geuza nguo yako usome lebo huwez kununua brand ya nguruwe wanabei kwelikweli labda mtumba tu zen utajua kibongobongo kimtindo wanatusave lyf
Nmegeuza ni made in Italy
hilo ni shati kiongoz check suruali na vngnee
hilo ni shati kiongoz check suruali na vngnee
Mkuu unamaanisha dola ya CCM inaenda kuisha October?Huwa nakuheshimu sana kwa hoja zako murua, lakini sometimes wewe huwa kichwa nazi sijui mwezi mwandamo? Sikiliza historia ndo mambo yote walikuwepo wayunani, wagiriki, dola ya rumi, Ottoman Empire , Viking , waingereza to name few hawa wote wametikisa , na wengine wamekuwa masuper power , where are they now? Muda wao uliisha and so as USA whether you like or not and it is just around the corner swallow it pig
Amerika huwa anaangalia na sehemu ya kwenda, sio kila sehemu atapeleka wanajeshi wake..