Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,766
Kuna vile vyuo vina toa majipiei makubwa makubwa, wenda msomi wetu ana 4.8Ulivuna GPA ya ngapi
Kuna vile vyuo vina toa majipiei makubwa makubwa, wenda msomi wetu ana 4.8Ulivuna GPA ya ngapi
Kuna vile vyuo vina toa majipiei makubwa makubwa, wenda msomi wetu ana 4.8
Kwani usomi hupimwa kwa GPA? Mwenye kubwa ni msomi zaidi ya mwenye ndogo?Kuna vile vyuo vina toa majipiei makubwa makubwa, wenda msomi wetu ana 4.8
Damn right... na vingine vimefungwa kwa agizo la mama ndalichakovile vya tunapatikana ghorofa ya tatu?
As far as our education system is concerned you are rightKwani usomi hupimwa kwa GPA? Mwenye kubwa ni msomi zaidi ya mwenye ndogo?
Mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako....mfano wako wa mbugani na simba hapa ni irrelevant!, kwenye jamii iliyostaaribika inajulikana wazi, mtoto wa mwenzako ni wako!, you must be selfish!
kwaio yakawa ni maswali au majibu?Majibu niliyompa, ni hayo maswali niliyomuuliza
ukiliwa na simba utakufa hakutakuwa na muda wa kujilaumuna usomi wako unaoutaja hapa umeshindwa kujua kaswali kama hako???? uko siriaz kweli??? angeharibiwa vipi kama yeye hakujiweka hovyo??? wa kulaumiwa hapo ni hao wasichana maana kama sio wako na ujinga wao yasingewakuta hayo!!!!
Mfano umeenda mbugan ukaliwa na simba, je utamlaumu simba au utajilaumu wewe na ujinga wako kwenda mbugani wakati unajua utaliwa na simba??? msomi naomba unijibu...