Kidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wazazi wengi huniona kama role model kwa wana wao hususani wa jinsia ya kike.
Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu aliyenifundisha O-level hapo hapo akaja nyumbani kunisalimia.
Tuliongea mada nyingi sana, mojawapo ni kuhusu mmomonyoko wa maadili hasa kwa vijana. Uzuri wenyewe, hata mwalimu wangu huyu ni kijana tu wa makamo.
Katikati ya maongezi, wakapita mwanafunzi wake wakiwa wanatoka shule. Akaanza, Eve (Eva) hivi visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli. Visichana vidogo lakini vinafanya mambo ya Wakubwa. Mimi kama mwalimu wa nidhamu nimepambana lakini wapi!!!
Baada ya maneno hayo ya mwalimu, nilimuuliza "Je, hivyo visichana vimeharibika au vimeharibiwa?" Nani anaviharibu? Je, anaetakiwa kulaumiwa kwanza ni anayeharibu (Subject) au anayeharibiwa (Object)? "
Kwa nini lawama ziende upande mmoja?
Je, wanaume wasipoharibu, wanawake wataharibika wenyewe?
Eti MMU!!!?
Na wewe naona kama ni kabinti ka siku hizi vile!!!Majibu niliyompa, ni hayo maswali niliyomuuliza
Kidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wengi huniona kama role model
Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu aliyenifundisha O-level hapo hapo akaja nyumbani kunisalimia.
Tuliongea mada nyingi sana, mojawapo ni kuhusu mmomonyoko wa maadili hasa kwa vijana. Uzuri wenyewe, hata mwalimu wangu huyu ni kijana tu wa makamo.
Katikati ya maongezi, wakapita mwanafunzi wake wakiwa wanatoka shule. Akaanza, Eve (Eva) hivi visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli. Visichana vidogo lakini vinafanya mambo ya Wakubwa. Mimi kama mwalimu wa nidhamu nimepambana lakini wapi!!!
Nakuonea huruma Beauty Eva, maana wana JF walivokuvaa usije ukajikuta unapigiza simu yako chini kwa hasira, wakati mwingine kabla ya kuposti uzi wako hakikisha umeukamilisha maana pamoja na wana JF kureact vikali lakini uzi wako haukuweka bayana hayo mambo makubwa ni yapi. Lakini pia hukutueleza majibu ya mwalimu wako kuhusu maswali yako kwake labda hilo lingetoa fursa ya kufungua mjadala kwa uzuri zaidiKidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wazazi wengi huniona kama role model kwa wana wao hususani wa jinsia ya kike.
Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu aliyenifundisha O-level hapo hapo akaja nyumbani kunisalimia.
Tuliongea mada nyingi sana, mojawapo ni kuhusu mmomonyoko wa maadili hasa kwa vijana. Uzuri wenyewe, hata mwalimu wangu huyu ni kijana tu wa makamo.
Katikati ya maongezi, wakapita mwanafunzi wake wakiwa wanatoka shule. Akaanza, Eve (Eva) hivi visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli. Visichana vidogo lakini vinafanya mambo ya Wakubwa. Mimi kama mwalimu wa nidhamu nimepambana lakini wapi!!!
Baada ya maneno hayo ya mwalimu, nilimuuliza "Je, hivyo visichana vimeharibika au vimeharibiwa?" Nani anaviharibu? Je, anaetakiwa kulaumiwa kwanza ni anayeharibu (Subject) au anayeharibiwa (Object)? "
Kwa nini lawama ziende upande mmoja?
Je, wanaume wasipoharibu, wanawake wataharibika wenyewe?
Eti MMU!!!?
vile vya tunapatikana ghorofa ya tatu?
Waafrika tunashida yaani huyu jamaa kujiita msomi basi imekuwa nongwa.