Visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli

Visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli

Umesoma shule ya kata? Mwalimu aliyekufundisha O level yupo kijijini kwenu!!!!!!
 
Selfish
1470043794992.jpg
woman
 
Mtoa maada utakuwa Chalii ya KAGERA..unajisifia kuanzia nick name yako ya JF(Beauty Eva),wewe msomi,umefika tu mwalimu akaja kukuxalmia,wewe hujaharibiwa bado kama hao wengine(BIKIRA WEWE),role model wa mabinti kijijni kwenu....Umeniudhi kama vipi ntake radhi.
 
Haahaaahaa msomi a.k.a role model ktk ubora wake
 
Kidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wazazi wengi huniona kama role model kwa wana wao hususani wa jinsia ya kike.

Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu aliyenifundisha O-level hapo hapo akaja nyumbani kunisalimia.

Tuliongea mada nyingi sana, mojawapo ni kuhusu mmomonyoko wa maadili hasa kwa vijana. Uzuri wenyewe, hata mwalimu wangu huyu ni kijana tu wa makamo.

Katikati ya maongezi, wakapita mwanafunzi wake wakiwa wanatoka shule. Akaanza, Eve (Eva) hivi visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli. Visichana vidogo lakini vinafanya mambo ya Wakubwa. Mimi kama mwalimu wa nidhamu nimepambana lakini wapi!!!

Baada ya maneno hayo ya mwalimu, nilimuuliza "Je, hivyo visichana vimeharibika au vimeharibiwa?" Nani anaviharibu? Je, anaetakiwa kulaumiwa kwanza ni anayeharibu (Subject) au anayeharibiwa (Object)? "

Kwa nini lawama ziende upande mmoja?

Je, wanaume wasipoharibu, wanawake wataharibika wenyewe?

Eti MMU!!!?

Anayeharibu na anayeharibiwa wote wana makosa. Anayeharibu ana kosa la kuharibu na anayeharibiwa ana kosa la kukubali kuharibiwa, maana wakati mharibifu anamshawishi kumharibu hakumlazimisha bali alimshawishi na kumrubuni kwa maneno matamu, ahadi hewa na vizawadi vidogo vidogo.

Mharibiwa alikuwa na hiari ya kukubali au kukataa kuharibiwa, lakini kwa sababu ya tamaa, kuendekeza udhaifu na starehe za muda mfupi, alikuwa radhi kuharibiwa ili aweze kupata hicho alichoahidiwa kupata kutoka kwa mharibifu.

Kwa maneno hayo nahitimisha kwa kusema, hakuna cha mwenye nafuu wala afadhali, wote wana makosa.
 
....mfano wako wa mbugani na simba hapa ni irrelevant!, kwenye jamii iliyostaaribika inajulikana wazi, mtoto wa mwenzako ni wako!, you must be selfish!
Alooh wew unaishi wapi siku hizi! Mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako ati, dunia imevaa kata K sasa Ebbo!![emoji19]
 
Duh

Mie nilitegemea kusoma maelezo ya mwalimu kasemaje kwa aliyokumbana nayo...kumbe unatuuliza maswali sie..bila majibu yake ambayo yangesaidia walio na watoto katika shule za nchi yetu...haya napita...
 
Chanzo ni vyenyewe,kwa viblauzi vyao vya kubana, chuchu mchongoko zinaonekana we unadhani vitaachwa?
Ukikutana navyo vinajifanya vinakuamkia,ukitest,mwake.
Chanzi cha mmomonyoko was maadili ni wazazi kwa kuwavalisha watoto nguo za kikahaba.
 
Back
Top Bottom