Visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli

Kidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wazazi wengi huniona kama role model kwa wana wao hususani wa jinsia ya kike.

Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu aliyenifundisha O-level hapo hapo akaja nyumbani kunisalimia.

Tuliongea mada nyingi sana, mojawapo ni kuhusu mmomonyoko wa maadili hasa kwa vijana. Uzuri wenyewe, hata mwalimu wangu huyu ni kijana tu wa makamo.

Katikati ya maongezi, wakapita mwanafunzi wake wakiwa wanatoka shule. Akaanza, Eve (Eva) hivi visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli. Visichana vidogo lakini vinafanya mambo ya Wakubwa. Mimi kama mwalimu wa nidhamu nimepambana lakini wapi!!!

Baada ya maneno hayo ya mwalimu, nilimuuliza "Je, hivyo visichana vimeharibika au vimeharibiwa?" Nani anaviharibu? Je, anaetakiwa kulaumiwa kwanza ni anayeharibu (Subject) au anayeharibiwa (Object)? "

Kwa nini lawama ziende upande mmoja?

Je, wanaume wasipoharibu, wanawake wataharibika wenyewe?

Eti MMU!!!?

kwan uyo mwalim wako alikupa majibu gan?
 
Bado hujamsaidia, na hiyo inatupa picha halisi kwamba wewe siyo Msomi kama ulivyojinasibu!
Mkuu kwani msomi ni mtu gani..Na kuwa msomi unatakiwa uwe unajua kila kitu?
 
Mtoa mada yuko vizuri!
Wachangiaji mnaomponda mko chini ya kiwango cha ufahamu na hekima ya mtoa mada!
 
Kidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wazazi wengi huniona kama role model kwa wana wao hususani wa jinsia ya kike.

Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu aliyenifundisha O-level hapo hapo akaja nyumbani kunisalimia.

Tuliongea mada nyingi sana, mojawapo ni kuhusu mmomonyoko wa maadili hasa kwa vijana. Uzuri wenyewe, hata mwalimu wangu huyu ni kijana tu wa makamo.

Katikati ya maongezi, wakapita mwanafunzi wake wakiwa wanatoka shule. Akaanza, Eve (Eva) hivi visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli. Visichana vidogo lakini vinafanya mambo ya Wakubwa. Mimi kama mwalimu wa nidhamu nimepambana lakini wapi!!!

Baada ya maneno hayo ya mwalimu, nilimuuliza "Je, hivyo visichana vimeharibika au vimeharibiwa?" Nani anaviharibu? Je, anaetakiwa kulaumiwa kwanza ni anayeharibu (Subject) au anayeharibiwa (Object)? "

Kwa nini lawama ziende upande mmoja?

Je, wanaume wasipoharibu, wanawake wataharibika wenyewe?

Eti MMU!!!?
Umesoma au umefuta ujinga!?
 
Nafkiri kuna haja ya kutengeneza inquisitive mind in people. Badala ya kusuggest majibu ni vema zaidi kupose challenging questions and ideas ili mtu ajifunze kutumia akili yake , na kile ambacho atakipata (under your guidance) bila shaka huwa ni bora zaidi kuliko majibu ya moja kwa moja, just in case yakiprove failure atakuona...... Ni mawazo yangu tu mkuu.
 
Ukilala nje ya nyumba (kwa sisi wa vijijini) na usiku akapita simba mwenye njaa akakutafuna, nani atalaumiwa? Nakuhakikishia, watu hawatasema waziwazi kwamba wewe marehemu ulikuwa mjinga kwa kulala nje huku ukijua wazi simba wenye njaa wanarandaranda kijijini. Watu wataishia tu kusema simba wanatumaliza n.k.

Ninachosema ni kwamba badala ya kulalamika, kila mtu atimize walimu wake. Wakati wengi wamekuwa busy na kutafuta kipato huku mapenzi ya watoto wakiachiwa walicheza wa kazi. Watoto wamekuwa na taifa za kijinga na hawataki kujituma na kufikiri kwa uhakika. Wanaume wengi hawawezi tena kujishinda katika tamaa zao za mwili. Akina mama wengi hawana muda wa kuongea na watoto wao kuhusu mabadiliko mbalimbali katika ukuaji wao.

Yaani kila mtu yupo yupo tu!
 
Back
Top Bottom