Visible karudi kiupya-wapi papaa chrispin,sipo,paka jimmy,....

Nimekukumbuka sana wewe na uliletaga mtafaruku mkubwa sana kati ya Sipo na Chrispin! Sio vizuri kukosanisha watu bana! Incase ungeniletea mimi longolongo ningekutoa busha la shingoni, ungejuta mwanawane

Naomba kuuliza jamani...Hivi hawa watu walifia wapi?:confused2::confused2:

Au hili swali linahitaji sredi inayojitegemea?:becky::becky:
 
Naomba kuuliza jamani...Hivi hawa watu walifia wapi?:confused2::confused2:

Au hili swali linahitaji sredi inayojitegemea?:becky::becky:

Sipo amekuwa muhubiri injili chini ya thehebu la kakobe

Xspin alizamiaga meli hatujui kama alifika south africa salama
 
Sipo amekuwa muhubiri injili chini ya thehebu la kakobe

Xspin alizamiaga meli hatujui kama alifika south africa salama
Namuonea huruma sana huyu kijana..... Karne hii bado watu wanazamia meli? OMG!!:confused2::confused2:
 
Sipo amekuwa muhubiri injili chini ya thehebu la kakobe

Xspin alizamiaga meli hatujui kama alifika south africa salama

Kuuuuumbeeeee ndio maana anyway life goes on, hivi na NGULI mbona haonekani whats up?? sore ofu topiki
 
avatar yako ina mgogoro.....

inafit sana kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa

PAka JIMMY anaijua avetor hiyo.....hata invisible anaikumbuka iyo...walisha nipiga mkwara mzito na kunifungia mwezi mmoja.mwaka 2009

Ibadili basi usije ukafungiwa maisha bure, maana Invisible kawa mkali ukikosea tu kidogo... kifungo!!!!!

Mgogoro mkubwa sana

VISIBLE you have been warned

.......Visible......Rungu linachongwa hapa........stuka badili tabia!

Thanks Wakuu.... maana mikasi live aisee

Iko BUSY!

Avator haina heshima....:mad2::mad2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom