Visible karudi kiupya-wapi papaa chrispin,sipo,paka jimmy,....

Visible

Senior Member
Dec 8, 2009
139
1
Wajamen nilikuwa nimepotea kidogo ila nadhani mnanikumbuka....
nimekuja kiupya upya safari hii.:eyebrows:
 
inafit sana kwenye jukwaa la mambo ya kikubwa

PAka JIMMY anaijua avetor hiyo.....hata invisible anaikumbuka iyo...walisha nipiga mkwara mzito na kunifungia mwezi mmoja.mwaka 2009
 
PAka JIMMY anaijua avetor hiyo.....hata invisible anaikumbuka iyo...walisha nipiga mkwara mzito na kunifungia mwezi mmoja.mwaka 2009
Ibadili basi usije ukafungiwa maisha bure, maana Invisible kawa mkali ukikosea tu kidogo... kifungo!!!!!
 
kama anasapoti CHADEMA atapata kile cha kiskaji....ila kama ni ANTI-CHADEMA.....THE FLOOD IS COMING
 
Wajamen nilikuwa nimepotea kidogo ila nadhani mnanikumbuka....
nimekuja kiupya upya safari hii.:eyebrows:

karibu tena na kilichonifanya nikukumbuke ni hiyo avator yako....ni ya tabia mbaya
 
Is that a big deal? Nadhani kuna walakini kidogo huko upstairs! Go and seek medical advise, young brother/sister!

afadhali umeliona hilo......sum pipo bana....utawajua kwa maandishi yao
 
Nimekukumbuka sana wewe na uliletaga mtafaruku mkubwa sana kati ya Sipo na Chrispin! Sio vizuri kukosanisha watu bana! Incase ungeniletea mimi longolongo ningekutoa busha la shingoni, ungejuta mwanawane
 
AAH!visibleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
habarr yako banaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom