Visent Kigosi (Ray) Nyota yake ilikuwa inazunguka kwa Mgongo wa Kanumba. Kifo cha Kanumba kimeleta shida sana kwake

Ule msuguano wao wa kishabiki ulikuwa unanogesha tasinia nzima ya bongo movie.
Na ieleweke bila ushindani wa vile mara nyingi kunakuwa hakuna maendeleo ya jambo husika.

Inawezekana pia kama angetangulia Ray, Kanumba naye kwa kiasi fulani angeyumba.

-Kanumba The great ....Ray naye akajiita The Greatest
 
Nilichomaanisha kuhusu wakenya nikumkubari the great nasiyo wao kuigiza vzuri, Mkuu light Kanumba angekuwepo Hadi Leo hii industry ingekuwa kubwa Sana na baadhi ya makampuni ya distribution yacnge kufa ila baada ya jamaa kufa na hayo makampuni yalizima sasa huoni umuhimu na uwepo wa jamaa.

Tunampima mtu kuwa ni muigizaji mzuri nipale anapoamua kuuvaa uhalisia, yaani kama unaigiza unalia tuone huyu jamaa analia kweli au unaigiza nikichaa basi tuone unafanya vitendo vya kichaa kweli

Hatumpimi mtu kwa kutumia bunduki au bastora vizuri ndiyo tuamoni ni good octor hapana Bali vitendo vya yule unaemuigiza kama ni chizi, muhuni, mpole, mcheshi,jambazi, mchungaji au shekh ukiwapatia hao watu vitendo vyao hapo hapo tutakuita good actor
Hiyo ndiyo maana halisi ya muigizaji

Kwako mkuu Heijah
Nakubaliana na wewe mfano mzuri wa Turkey kama Ertugrul unaweza kulia mbele ya watoto na wakati mwingine wanakufanya unasahau kuwa hii ni tamthilia tu na unakuwa mkali na kupanic sasa hawa ndio waigizaji. Mimi siangalii bongo movie ila nimeshawahi kutizama miaka ya nyuma sababu ilikuwa ni kitu kigeni nchini unatamani kuona tukoje lakini experiance yangu haikuwa nzuri sababu kila picha ikiendelea naanza kucheka kwa kuona hakuna uhalisia katika mambo mengi sehemu ya huzuni badala ya kulia unacheka jinsi wanavyoigiza. Kuna picha nimeona jamaa ka act mlinzi lakini unaona kabisa huyu mtu kapitia saloon apendeze kwanza nywele zinawaka na heleni kavaa, jambazi lazima avae koti kubwa na miwani yaani picha yetu wote wamepita saloon na kunyoa fresh ili aonekani mzuri wakato role yake ni kucheza mlinzi au mtu maskini ana shida kibao. Hakuna uhalisia watu wanataka kuuza sura
 
Hapo ndipo wanapofail wabongo kwani baadhi yao hawana uhalisia kabisa kwenye kuigiza, hicho ndicho kilichoififiisha industry ila pongezi ziende kwa Azam tv kwani kimtindo wanajaribu kuiweka sawa industry ila wasanii wenyewe hawapo teyali
 
Ukiwa muangalia sinema mzuri, Nollywood wanasoma sana novels za Kizungu na kunvert scene nyingine katika mazingira ya Kiafrika. Kwakweli hata kama wana copy lakini wanaongeza manjonjo na Kiingereza chao hata Wazungu wanakielewa.
ku copy hakujawahi kuwa tatizo kwenye sanaa, hata wao Hollywood, Bollywood na hata European CInema wana copy kazi za wengine kuanzia story mpaka screenplay. Tatizo linakuja kutengeneza kazi mbovu.
 
KE

huo ni uzi wa huyo born town shabiki wa kiba na r kelly

Nimemsoma huyo shabiki w kiba enzi hizo anaimba na rkelly,umemsagia kunguni
 
ku copy hakujawahi kuwa tatizo kwenye sanaa, hata wao Hollywood, Bollywood na hata European CInema wana copy kazi za wengine kuanzia story mpaka screenplay. Tatizo linakuja kutengeneza kazi mbovu.
Huwa nikiangalia Wild Flower na mambo yao ya ugaidi, wizi, huwa nashindwa kuamini kuwa sikweli cinema wanavyoitendea haki, na waigiza sauti wa kibongo akina nyama yao wameipatia kweli. Napenda yule mzee mtaka madaraka alivyokatili hata kwa wanae
.
 
Cha ajabu kanumba na Ray walikuwa marafiki hadi nje ya tasnia ya filamu.
Pia walitoa movie pamoja zaidi ya mara 10.
Pia kaole walikuwa pamoja sana.

Bongo movie ilikufa kwa sababu ya elimu ndogo ya waigizaji...
Unauzaje hakimiliki zote kwa kampuni ya usambazaji?
 
Mkojani na vituko vyake kawafunika. Siku hizi hata Johari anaomba kumpata mme yeyote mwenye akili timamu tu amuoe ili amsitiri kachoka kudanga
Johari alikua anatoka na Ray ,wakamdhulumugu baba mmoja km 30m hivi!maana huyo baba aliingia kingi kwa johar akawa anatoka nae ,hvyo wakawa wanamzunguka mbaba alipagawa alilia km mtoto vile anaitwa MacDonald nafkiri ni mnyaki...zile pesa Johar alidanganya anaenda kuzalisha movie watagawana faida,mbaba wakampiga hawakumpa ht 100 yeye na Ray..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ray bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu

Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo

Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao
Siku mtandale akiyeyuka toka uso wa dunia there will no kibakuli no njomba nchumali
 
Vimepotea kabisa, kuna kipindi Kigosi alikuwa hatoki ndani kutokana na kupoteza kwa ukweli, aliisi labda mke ana nuksi, akamwacha akaoa mwingine mambo yakawa yale yale, tatizo alijitune sana na maisha. Bora Kitive Nyenyere yeye akikosa hela anapanda hata daladala akiwapata wenye mshiko anawachekesha kidogo wanamtilia chochote chungu jioni kinatokota.
Tive ake mdananda pimp wa mademu wakali miini
 
Wewe ni juha tena juha mkubwa tu.
Alikiba kaanza kuwa star zamani sana wakati wewe upo kwenu chitohori na diamond anauza mitumba tandale huko.Kwa sisi ambao tumekulia mjini na tumeanza kusikiliza mziki kitambo hatuwezi kusema kauli za kiwaki kama hizo.
Wakati alikiba anafanya kazi na wasanii wakubwa wa Afrika na star R Kelly vipi alikuwa sio maarufu.
Ficha ujinga wako

Kwani Q Chilla nayeye si alianza kabla ya Mondi?mbona yeye kapotea?hatuongelei nani kwanza game tunaongelea ku maintain ile status yako,KIUKWELI KIBA bila Mondi angeendelea kuwa MwanaBongo flavor lakini asingekuwa hapo alipo sasa
 
Johari alikua anatoka na Ray ,wakamdhulumugu baba mmoja km 30m hivi!maana huyo baba aliingia kingi kwa johar akawa anatoka nae ,hvyo wakawa wanamzunguka mbaba alipagawa alilia km mtoto vile anaitwa MacDonald nafkiri ni mnyaki...zile pesa Johar alidanganya anaenda kuzalisha movie watagawana faida,mbaba wakampiga hawakumpa ht 100 yeye na Ray..

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliotaka kufungwa Ray na jihadi sijui kesi ilizimwa bipi. Utapeli wao Mungu kawanyoosha
 
Wana JF

Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote.

Msindani wake Visent Kigosi almaalufu kama King Ray, alijinasibu kuwa wana uwezo unaofanana katika uigizaji. Mara nyingi tuliona drama za kushindana hata kuonyesha magari mazuri. Kanumba yeye alijikita kwenye mapenzi na wasichana wapya wakati Ray yeye alinasa kwa majimama yenye pesa.

Namkumbuka Dotnata akiwa ni mtu mzima mama wa watoto wawili alikuwa ilimanusura waoane. Dottinata kipindi hicho anawika kwa mapishi bora ya kwenye harusi na masherehe pia na mapambo. Sikui hizi haonekani kabisa. Ray hata matangazo hawampi Richard ya kuandaa mwanae angalau aambulie ustaa bado mbichi lakini naye makosa promo baada ya Ray kutengana na mke wake.

Hv Dotnata yupo wapi?
 
Back
Top Bottom