Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,137
- 33,549
Katika karata zilizokosewa CCm 2015 walijua ushindani wa kuweka mtu fulani kama ilivyo wanavyo fanya kufurahisha Demokrasia wanayo jua wao.
Ni kitu kumuweka mwenye uchungu na wajomba zake ambao waliishi kwa imla nchi hiyo sasa wanarudisha majibu.
Nimekumbuka uganda kipindi cha amin ilifikia kudeal na makabila.
Imenikumbusha kipindi adolf,sadamu na wengine ambao wanarudisha historia zao.