Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Relax, drink some water, act like you somebody daughter
Wewe ndo rekax… wewe ndo umepanic.
Mwenzangu umetisha! Una 29 halafu mara ya mwisho mlionana chuo miaka 12 iliyopita Udom. Ina maana ulikuwa na miaka 17 mwaka wako wa mwisho? Ulisoma kwa mtaala wa nchi gani nipeleke wanangu niweze ku fast forward maisha. Ntashukuru ukinipa jibu 🙏🏾
afu na wewe soma story vizuri, kaka alipata scholarship akaenda majuu akaishia uko uko. Ndio mama 17 nilikuwa mwaka wa kwanza chuo, una swali ingine.
 
Mwenzangu umetisha! Una 29 halafu mara ya mwisho mlionana chuo miaka 12 iliyopita Udom. Ina maana ulikuwa na miaka 17 mwaka wako wa mwisho? Ulisoma kwa mtaala wa nchi gani nipeleke wanangu niweze ku fast forward maisha. Ntashukuru ukinipa jibu 🙏🏾
Vitu vingine havihitaji hata uijiongeze mpaka kuelewa nini kinaendelea atume Visa ya USA hata kwa kufuta futa hapa manaa wale jamaa ni wakaguzi balaa kuliko sisi uone kama kweli kapata hiyo Visa..
 
Vitu vingine havihitaji hata uijiongeze mpaka kuelewa nini kinaendelea atume Visa ya USA hata kwa kufuta futa hapa manaa wale jamaa ni wakaguzi balaa kuliko sisi uone kama kweli kapata hiyo Visa..
Ila me sio wa kuzaliwa jana 🤣nikuwekee visa yangu hapa
 
Yani nchi hiii 😳mwanamke kuomba ushauri she is a phony 🤣 mbona wanaume wanaomba ushauri na munawapa humu. Ebu ntokeee .. Dont need to prove nothing to nobody on an anymous platform .
Lingine dont be desperate utapata mwenza, it gives phony vibes

no way to prove thats u
 
Okay nimesoma mawazo yenu nimeona na kujifunza mengi sana sana! Kisa cha pili.

Kaka Jameel!
Basi bwana katika pita pita zangu siku moja nimealikwa kwenye sherehe na rafiki yangu anafanya kazi ubalozi wa nchi moja nchini ( tuseme marekani) nikitaja ubalozi halisi atajijua. Nikamkuta mkaka mmoja mzuri sana, anafanya kazi taasisi binafsi ni juzi tu alipandishwa cheo kuwa MD ( mwaka huu january) akapewa nafasi ya kuongea kwani kampuni yao ina biashara nyingi na ubalozi huo, kwa kweli nilivutiwa ila nikaona mkaka hawezi kuwa na me, cheo kikubwa mno afu design kila mwanamke anataka attention yake. Nilitamani sana kumsalimia nikasita. Usiku ule nikaondoka najilaumu. Mungu si athumani wiki inayofuata kilitokea jambo ya ajabu, ile taasisi ambayo mkaka ndo md si wakaniandikia email bwana, mualiko wa dinner kwa wateja wao… nikashangaaa kwani me sio mteja wao ila nikaitikia wito nikaenda. Nikamkuta MD Mkaka mtanashati balaa ananata minato yote, sio kijana mno wala mzee mno, usiku huo nikapata nafasi ya kumchunguza ila bado nikasita kumsalimu ila sikuelewa nilipataje ule mualiko maana kampuni zetu hazina muingiliano. Me nikakaa zangu nikanetwork na watu naowajua nikaondoka. Nikala kwa macho nikaenda kulala… bwana bwana mwezi unaofuata si nikaonana nae tena na mkaka airport 😳😳 nikasemA heeee hichi ni kitu gani? Yani naingia airport namwona yuleee basi nikachill kidogo badae uzalendo ukanishinda nikaenda kumsalimu. Of course hatufahamiani nikamwambia tulionana dinner yao ya juzi akasema sawa nadhani nilikuona tukabadilishana namba. Bwana kumbe tulikuwa wote tunaenda mji mmoja mkutanoni dubenga, mkutano
Wa kikazi. Kufika kule ye akafanya yake jioni badae mkaka akanicheki baaada ya kazi
‘mdada si tuonane tupate ata kinywaji’ nikasema weee mbuzi kafia kwa mpika supu. Dada nikapendeza nkaenda kuonana nae. Mkaka ananukia, mzuri ana miakili yani kukaa nae tu nilihisi nimeona pepo. Baada ya kula na kunywa akaomba anisindikize hoteli niliofikia kwani ilikuwa usiku sana me nikakubali. He was very gentleman, akaniacha mlangoni na kiss moja matata sana. Yani mpaka nikasinyaaa, akaomba kiutani kama nitaridhia tuspend usiku huo pamoja. Kwa kweli nilikataa sababu dah yani nilijihisi sijui vipi, tuonane leo leo tunjunjane leo leo 😒😒 nilishindwa. Nikampiga tarehe. Bwana kumbe ndo sijui nilikosea, kaka toka apo tunachat vizuri ila sijawahi onana nae tena yani naishia kumwona azam tv kwenye taarifa ya habari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ni mimi nilikosea au? Ebu nishaurini
Huyo ana mtu wake mzuri zaidi yako na anampenda sana,kwako alitaka kula kimasihara tu,siunajua tamaa za kiume,vyote tunataka viwe vyetu
 
Yani nchi hiii 😳mwanamke kuomba ushauri she is a phony 🤣 mbona wanaume wanaomba ushauri na munawapa humu. Ebu ntokeee .. Dont need to prove nothing to nobody on an anymous platform .
Rudisha ile pic ya mwanzo ile ingefanikisha mikakati kiwepesi zaidi, honest opinion.
 
Jamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa nahadithia hapa muwe mnanipa ushauri wa kumchagua. Wanaume hawa wote ni wabongo kasoro baadhi. Mpaka natamani kuhama mkoa mwingine kutafuta mwenza wa maisha ila sasa kazi hizi jamani doh

Mwanaume wa kwanza: Agel
Agel ni mkristo mzuri tu tulisoma wote chuo huko Dom ye akapata scholarship kwenda majuu akabaki huko,Agel hajawahi hata kuniongelesha tulivokuwa chuo ila tulikutana mtandaoni siku moja akaulizia niko vipi anaona mihangaiko yangu na anapenda sana navojishughukisha ( me nauza nguo na vitu vya ndani ) basi bwana ye anaishi majuu na ana cheo kweli kweli, kupewa cheo nchi za watu sio rahisi cv imeshiba, ni executive fortune 500 company huko yeye ni mambo ya first class na kuendeshwa na dereva, ana hadi chef wa kumpikia .

Katika majadiliano siku moja akaniambia me Chenko nakuelewa mwenzako. Nikashangaaa nikamuliza why? Akasema wewe mpambanaji nimekupenda sana na nimekuwa nakupenda toka chuo basi tu ulikua mkimya mnoo… basi mtoto nikaona yes nimepata fortune 500 husband.

Ila katika maongezi jamaa nikawa simuelew elewi, kwanza ni mkali mlalamisha usipopokea simu anaandika message ndefu barua, tuko masaa 10 nyuma sasa ni ngumu kweli mawasiliano me nimelala yeye ndo anaenda kazini, pili kila saa ananisifia uko vizuri sana kifedha nakuadmire sijawahi pata mwanamke alie kama mimi, kidogo sikupenda hii statement… halafu kila saa anataka nimwoneshe napokaaa nyumba nimpe tour eh jamani, (hata ye alitaka kunipa tour nyumba ake nkasema ya nini jamani siku ukiniliaka si ntapaona?), gari naloendesha anataka address ya nyumbani kwangu kabisa , halafu maongezi yake mhhh mara ananimiss anataka kuhug sijui hajaona mwanamke miezi 6 toka kaachwa dah hasa nikawa nakuwa uncomfortable.. (hatujaonana miaka 12) huko nikawa nakausha basi akanialika niende majuu tupate our first date angalau, mhh nikasita kidogo sababu sijawahi fika marekani na anaishi new york kabisa ila nikapiga moyo konde sababu ni mualiko wacha tuone , nikatafuta visa nikapata.. khaaa kaka si ananiambia nijilipie ticket? Ye atagharamia kila kitu cha malazi nikifika.

Huyu Agel sijamuelewa yani unanifuata wewe una hamu kuniona wewe unanitongoza wewe unanisumbua nije tuwe na first date wewe afu nijilipie ticket? Akaniambia im sure unaweza kulipia haina shida kwako, doh statement imenikata mbaya…Hela ninayo ila sina shida ya kwenda marekani saa hiii, ndo kwanza nina safari ya china mwezi ujao kuchukua mzigo. Kanidissapoint, nimwache au nimwambie tukutane dubai afu nimsikilizie?
Hadi sasa hakuna mtu hapo nae marekani ana maisha magumu...... tafuta mtu wa tanzania tu ufe nae
 
Achaga kusema uongo
Sawa ntaacha nisamehe kwa kukukwazI

Update
Mimi ni maskini mbwa, sina mbele wala nyuma. Mniinue hata kazi sina apa nilipo sijala siku 7.

I hope this makes u happy. Im doing this from now on
 
Haya since mmenisema sana sasa nawaletea kisa cha tatu cha kinyonge zaidi ambacho kinaendana na maisha ya kawaids ya mtanzania maana mnaona ka nawapiga fixi.

Bono
 
Tafuta wafanyabiashara wenzio wa hapo kariakoo, distance utaiweza mama? afu huyo jamaa kwa story uliyotoa hamuendani, yeye ana mtazamo wa kimagharibi, wewe mwafrika mweusi typical
Umeona Kama mie,huyu anajua kuolewa ni kupewa kazi,why asijilipie nauli kwani yeye hamhitaji mwanaume ama me ndiye pekee ana shida na ke,
Pia hajiamini kuulizwa nyumba unayokaa,gari lako na bank statement hizo mambo ni kawaida kwa nje sema huku gizani unaogopa kurogwa. Anuani unapokaa ni coordinates tu mtu anakuja mpaka ndani yako
 
Back
Top Bottom