Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

Elimu hii ya uchawi na kupigana na uchawi
Hipo kwenye bibilia maana ndio wabishi na qura’n tukufu maana imefunua kuliko kila kitu kuhusu dunia na tulivo.
Sio kufunguka kila jambo
Kila mwanadamu kapewa imani kapewa nguvu ndio maana hata mdomo unaumba,una laani,unajenga na n.k kuna neno “chunga ulimi wako”
Maana ya neno ilo hata mahakama ina kufunga na kiimani hata kiroho zinatumika,hepuka sononeko la mtu kwa uliyo fanya,hepuka laana ya mtu,hepuka kauli ya mtu.

Tupo hapa duniani kwa ajili ya kuviongoza vyote vilipo duniani maana dunia ni ya wanadamu si ya samaki wala
Ndege.hata malaika,majini na vyote vita kubali kwa kuwa tuna mamlaka yote vitutumikie
Mfano
Kila binadamu kapewa malaika wake kiungalizi.unapo zaliwa unazaliwa na mizimu ya kwenu ambayo hata uzae wapi au ufe wapi watasumbua kwenu,kuna majini utakayo kutana nayo yawe wema au wabaya utakayo ingia nayo au kukutana nayo sehemu za kazi,majumbani,mitaani,kwa michepuko n.k

Elimu bahari
 
Anakupenda kwasababu anataka kukurithisha mikoba. Ukimuendekeza kuambatana ambatana nae anavyoenda kufanya mambo yake muda si mrefu utakuwa gumzo.
Huyo jamaa asivunge humu ndani ni Mshirikina atakuwa kapewa mikoba ya bibi yake
 
Stori ina episode 8 tuu.

Uzi una comments 1500+ na zinaendelea kumiminika.

Kule telegram LwandaMagere yuko episode ya 90+, comments ndio usiseme na watu wanatoa shule nzito sana ya maisha ya engo hizi za ulozi.

Hakika Tanzania na Afrika nzima hakuna mtaa usio na mchawi/wachawi na kila ukoo una either mchawi au mshirikina japo mmoja.
Nipe link
 
Wachawi ni viumbe wa kuogopa kuna jamaa mwalimu madrasa amefungwa jela miaka thelathini, michongo wametoa wachawi wametengeza kesi ili ili aonekane kabaka tena wamemfanyia hayo baada ya kuwakatalia wachawi lengo lao yule ostadh akubali kila mwaka jamaa wapate kijana mmoja, Chanika hiyo.
Ddduuh. Sio poa
 
Jamani nina miaka mingi sijalog in huwa nasomaga tu ila huu uzi umenifanya nimelia sana acheni tu hii dunia. Itoshe tu kusema nateseka lakini maombi yamenifunilia yalio sirini naonyeshwa kabisa anayenitesa. Ukiniona huwezi jua mateso nayopitishwa hapa nalia nitahadithia nikitulia.
Pole sana mkuu
 
Kuna wajuaji humu wameuteka uzi hadi mleta mada mwenyewe kaona aibu.
Si muanzishe nyuzi zenu au mkae kimya!
Maana unaona thread inakimbia balaa kumbe wachangiaji wa pembeni tu.
Subirieni uzi ufike mwisho ndio mtoe michango yenu bana.
Mnafanya mleta mada ajione hana jipya sababu mnasimulia karibia kila kitu
Sasa yeye anachelewa sana kuleta episode ndio maana anaacha mwanya wa wadau kumzidi kete kwenye uzi wake
 
IMG_3589.jpg

Kuna movi moja.sio za kwetu unaweza kuona katuni ila rudia hata mara tisa.hawa disney si wanadamu
 
nimetamani kutype ila wacha nikae kimya ....
Ni kumuomba Mungu atulinde tu na wanadamu hawa.
 
Ushapata kazi kwa mzungu

Jina lako nani !
Mwaka wako wa kuzalia “hapo hana kuangalia zodiac yako na yeye na ofisi yake zodiac”

Mama yako ni nani
“Kama hata kuwa na nguvu kwenye kazi yake”
Ukiona mzungu hana kupa haya maneno
Elimu hii wanayo sana ili wafike na wafike hata kama ni maskini,tajiri,wasomi,kizazi chochote.

Hata waharabu na wahindi utumia sana
Usije kwenda kwa hawa watu wakupenda ukashangaa sana na utoboi mpaka una zeeka au wanasonga.
Usije kukuta ukawa kapu lao
kufanya kaz kwa mhindi au mwarabu kuja kutoboa life huwa nikaz sana na wanapenda kutoa ela kwa mkono wa kushoto ilihali wao hawapendi kupokea ela wanayopewa kwa mkono wa kushoto
 
Mazoea nayo ndio chanzo cha ushirikana.bora mtu asikujue kabisa hata huku serekalini na makazini binafsi ukitaka upotee leta mazoea
Nywila zako utawapa
binadum sio kiumbe mzuri kabsaa. Anaweza jidai anakupeleka kwa mganga wake ili ufanikishe mishe zako kumbe anaenda kuchukua nyota yako ili aitumie kufanikisha mambo yake.
 
Back
Top Bottom