Virusi vya korona vyaja kivingine!

Virusi vya korona vyaja kivingine!

We all gonna die... mimi bado naona kama ni movie vile naexpect iishe lakini haiishi...very sad.
 
Hili jua siyo mchezo, huezi amini sanitizer yangu ime evaporate yooooote: nadhani sasa niko salama maana hii ni total sanitization
Bado hujanywa konyagi kubwa...hawa jamaa wanatutengeneza wauze tu chanjo yao..wametukosa.....kama mpango kupunguza idadi ya watu wangetengeneza corona ya mapenzi
 
Mm nimeshindwa kuuelewa huu ugonjwa wiki iliyopita mgonjwa wa Corona kafariki akiwa ndani ya ndege huko USA baadae wakaweka mazingira ya kuwapima wale abiria wote na kuwa nao karibu wote wapo salama pamoja na mke wa marehemu na wote waliowaudumia huko walikopita ila bado tunaambiwa unaambukizwa kwa hewa daah kazi ipo...
 
Waache waendelee kupambana sisi wametukosa na migonjwa yao ya kutengeneza

Tena na hili jua la Dar kwa sasa ndio kabisa virusi haviwezi kutusumbua
Dar kuna Jua kali kuliko Saudi Arabia,Kuwait,Bahrain,Oman na UAE? nchi ambazo joto hufika mpaka 50c lakini Covid ipo.
 
Bado hujanywa konyagi kubwa...hawa jamaa wanatutengeneza wauze tu chanjo yao..wametukosa.....kama mpango kupunguza idadi ya watu wangetengeneza corona ya mapenzi
😀😀😀😀😀😀😀😀
Tatizo ni kuea wanatusubiri kwenye travel, ila na sisi tususe kwenda kwao
 
Kuna nchi fulani hapa duniani, eneo lake fulani lenye wakazi wengi lilikuwa karibu sana na sehemu ambayo ilikuwa na mlima wenye Volcano hai. Sehemu hiyo ilikuwa na mandhari nzuri sana, na wakazi wake wengi walikuwa watu wenye uwezo. Wakatembelea Wataalam wa mambo ya volcano sehemu hiyo. Wakatoa tahadhari, kwamba baada ya muda fulani volcano italipuka vibaya sana. Ilikuwa ni baada ya kupita muda mrefu kidogo. Lakini wakashauri watu wahame maeneo hayo. Wataalamu wakaondoka. Maisha yakaendelea kama kawaida.
Muda ukapita, kukaanza kuonekana kama mvukemvuke hivi. Mmm! wenye uelewa wakaanza kuhama.
Hali ya mvuke ikaendelea kama miaka mitatu hivi, aaah! watu wakazoea hali, maisha yakaendelea.
Ee bwana eee!! Siku ya siku, muda wa usiku, volcano ililipuka, sehemu yote ile ilifukiwa, hakupona mtu.
This is a true story, ukitafiti utaijua sehemu husika.
Ungeisema tu🤓
 
"Tanzania has the third largest population at risk of malaria in Africa: over 90% of population live in areas where there is malaria. Each year, 10 to 12 million people contract malaria in Tanzania and 80,000 die from the disease, most of them of them children."

Pambaneni na matatizo yenu kenge nyie
Ongeza sauti😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Dar kuna Jua kali kuliko Saudi Arabia,Kuwait,Bahrain,Oman na UAE? nchi ambazo joto hufika mpaka 50c lakini Covid ipo.
Ndiyo, dar kuna jua kali na tunaendelea kuchapa kazi; huko kwingine majority hujifingia kwa AC. Hiyo ndiyo tofauti, panapo majaliwa tutashinda
 
Kwa hiyo bi faiza vaccine ameshindwa kabisa kubana mapajA.
 
Back
Top Bottom