viruka njia

tamaa tu ya midume!
nadhani siyo tamaa ya midume ila wanakuwa wana kiu, ambayo sometimes imeanzishwa sehemu kama home vile wakabaniwa, sasa wafanyaje?

Kwnda kutafuta sehemu ya kupozea na kupona. halafu maisha yanaendelea, :israel:Lakini kama wangekuwa wanapata ile habari kisawasawa basi virukanjia wasingepata kitu. Ile ni hali ya wanaume wengi kutoridhika hasa kwa wenye ndoa zao wamama wanakuwa wabanizi kinoma! na mijibaba inachoropoka kudunga, futa mdomo na kurudi kimya, kupitia baa. Akifika home hana story saaaana!
 
[SIZE="4[B]"]Yaani, usijelogwa ukajaribu penzi la viruka njia, kujinasua ni kama ngamia kuingia kwenye tundu la sindano...[/SIZE][/B]
sasa hapo ndo balaa lake, unaacha familia na kutia aibu kabisaaaa, na baadaye laana juu ya watoto wako
 
quote_icon.png
Originally Posted by NATA
na madamu wakukachezesha yupo, why not enjoy it?

Perfect mkuu, ikiwa unakalamu imejaa wino , na daftari inapatikana kiurahisi, sasa unangoja nini kujua kuandika , we andika hata madudu huna lawama, ninachomaanisha ni kuwa , faida ya vuruka njia huhitaji kuumia ili umridhishe coz wewe unapunguza protein tu mwilini,
 
Kitu cha bure hiki mkuu

Si useme tu leo umekamatika umeloekewa shati na suruale umeamua kukaaa kwa laptop umalizie huzuni zako humu huku ukijiandaa kwenda kujibu kwa mama chacha umelala na kushinda wapi leo
 
Jiandae nakuja
 
Mbona sijaona aliyetaja suala la gharama?Haikuwa nia yangu kusema chochote lakini hili limenisukuma kusema maana kwa wadada wetu ukimtaka, hayo maringo na mapozi utakayopewa inafikia kipindi cha kumega umeshatafuna si chini ya 500,000/= lakini kwa kiruka njia kila siku utakayo ni 5000/= na imezidi sana 10,000/=sasa ukigawanya kwa hiyo sum ya juu utajikuta kwa kiruka njia umecharaza zaidi ya mara 100 na unapewa bila kubaniwa tumbua lote lako hakuna cha leo niko sijui mlimani.Wakati huyu anayejidai katulia utahonga zaidi ya hizo na utaendelea kumhudumia as long as mko pamoja.Cha ajabu sasa kiruka njia akikuzoea na mkopo utapata siku zingine lakini yule anayejidai si kiruka njia akikuzoea ndio matatizo yake yooote na ukoo wake utabebeshwa wewe na kumega kwa masharti,eti leo siwezi kuja shangazi kanitembelea ,Kha!!!!Si bora nihangaike na viruka njia mpaka nitakapoamua kutulia na familia.
 
\

Mkuu umenena la ukweli kabisa, tena unaweza ukatumia gharama zoooote hizo halafu mwisho wa siku usiambulie kitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom