Viroba marufuku?

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,181
1,493
5c80d70da2c1067113d64b6de3b7b811.jpg
 
Hehehe!!

Ebana Ugolo sio mzuri kabisa,kunarafiki yangu aliipatapata kama ujuavyo ujana maji ya moto alibugia baada ya muda kidogo mwili mzima Jasho akawa hajielewielewi.

Aisee stimu ya ugolo ni hatari,huku kwetu tunaita chabibi vitu vingine tuwachie wazee.
 
Back
Top Bottom