Vipotabo vs nyaminyama

Tatizo ajali nyingine jau sana unateseka huku unafurahia😂
Kipindi cha foolish age niliwahi mpakata binti mmoja kibonge (tulikuwa tunasoma nae darasa moja) kipindi cha tour za shule, mfukoni nilikuwa na simu,nikahisi itavunjika ila nilijikaza, mpaka tunafika simu kioo hakionyeshi, nilijilaumu sanaaa ila nikikumbuka ile minyamaaaaa nasahauuu
 
Hii inategemea na aina ya Mwanaume mfano itashangaza sana kwa mwanaume Mfupi sana kuwa na mwanamke Bonge. Hiyo nayo ni Elimu nyingine 😊
 

Hii ndiyo ile mizigo tunayoipendaga sisi wanaume wa kiafrika (in Sheikh Kipoozeo voice)
Hawa peponi unapewa 72 sheikh...mmh
Na nguvu za wanaume 100....
Hatari sana...Allah atusaidie tufike peponi sheikh Mshana Jr
loose Nut
adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…