Vipindi vya Redio na Televisheni unavozipa muda wako.

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
1,792
Reaction score
3,079
Habari wana jukwaa,poleni na hongereni kwa shughuli za mapambano.

Nimekuja na ombi moja,naomba mnisaidie vipindi vya redio na televisheni ambavyo vimefanikiwa kuchukua muda wako,yaani unavisikiliza au kutazama.

Lengo nataka kufuatilia vipindi vizuri zaidi kwenye redio au televisheni.

Asante
 
Mh tunatofautiana sana, sikumbuki mara ya mwisho kusikiliza Radio au Kutazama Tv
 
somewhere street channel inaitwa NHK world iko azam ni ya wajapan then kuna ID extra nayo iko azam
 
Back
Top Bottom