vipi tanesco?

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Jamani kwa siku mbili mfululizo mtaani kwetu,umeme unawaka tu,kuna tatizo gani?
 
aah labda kuna kauzembe flani wamefanya ndo maana haujakatika.

wiki tatu za ngeee lee kwani bado hazijatimia eeh.
 
Mjue kuna kigogo wa CCM au Tanesco kahamia au ana nyumba ndogo mpya mtaani kwenu
Chimunguru kuna gari ya Tanesco huwa inakuja kupaki sana mitaa ya kwetu halafu ni juzi tu wamehamia mabinti kama wawili mtaani kwetu kwenye hiyo nyumba inapopaki hiyo gari ya Tanesco inaweza ikawa ni sababu ya kutokatiwa umeme
 
Dah!hapo lazima mgawo mtausahau mkuu.
 
Kutakuwa na tatizo kubwa sana Tanesco maana hata kwetu kama siku mbili hawajakata umeme...kunahaja ya kulalamika wakate japo siku moja tumeshazoea mgao ati.
 
Aisee nyie mnakula bata wakati kwetu jana wametupa dozi mara mbili aisee...its not fair!
 
Aisee nyie mnakula bata wakati kwetu jana wametupa dozi mara mbili aisee...its not fair

yaan we acha...sie kwetu..nika jamaa ana makusudi jana karudisha saa mbili..kakata..saa kumi na mbili..asubuhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom