Vipi sasa kuhusu ile laki 3


Nikimpata gf mwenye msimamo kama huu ulionao wewe nitauza shamba la baba ili ajue tunatumia pesa baada ya kupendana na sio tunapendana kwa sababu ninapesa
 

Huyo njia nzuri ya kumwacha ni kukata mawasiliano tu na uendelee na maisha yako. Majibu ya dharau yanaonyesha ana mtu au watu wengine. Siku ya siku akute tayari una kitu kingine
 
Hahahaha, bora huo mzinga kuna mwingine ni balaa

Story inakuja
 

Pesa mbele kama tai. Pesa mi mpango mzima eti, huna kaa kushoto. Usione vyaelea
 
mkuu wewe dau lako ngapi? au mapenzi kwanza then sabuni ya roho!

Mwanamke wangu nampatia chochote anachokitaka, hata kama nimeishiwa, nimewahi kumpatia laki 8 wakati nina milioni 1 tu mfukoni kwa sababu alikuwa na dharura. Amenivumilia kwa mengi nikiwa sina kitu completely, still hakuondoka, nikamuona sio mshamba hela kitu gani! labda iwe nje ya uwezo wangu! Tatizo ni pale unapokutana na waigizaji wenye kusukumwa na njaa halafu wanajifanya ni mapenzi!
 
Ni bora niendelee kukaa hivi hivi nikiwa single kuliko kuwa na mwanamke au mchumba anayependapenda hela tu maana mchumba au mke kama huyo tutagombana nae kila siku mbona.NA NYIE WANAWAKE MUME MNAJIHESHIMU KUNAWENGINE MNAPENDA KUHONGWA KWELI HAMJUI KUWA VIHELA HIVYO HUWA TUNAMATUMIZI NAYO MENGI MUHIMU .JIREKEBISHENI
 

Uso wa nyoka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…