Nimeuliza swali hujatoa jibu, Ndio tunaamini au Hapana hatuamini. Unaleta maelezo. sasa haya maelezo yako mbona ndio unazidi kuonyesha jinzi muslims mlivyo vilaza zaidi.Kisoda 2,lazima ujuwe kuna dini tatu zinaitwa Abrahmic Religions .Yaani hizo dini zinafuata mambo ya kiimani kutoka kwa Ibrahim,yaani wanafuata mila za Nabii Ibrahim,kwa hiyo lazima ujuwe hapo mwanzo palikuwa na dini moja kati ya hizo dini.Dini ilikuwa moja,walianza kutofautiana baada kugawanyika makundi ya kukataa Manabii waliofuatia baadaye.Dini hizo tatu zinafanana kwa kukubali Mitume waliyopita wako sawa,ukiangalia wote wanaamini
1.Daud kapewa kitabu Zaburi
2.Taurat kapewa Musa
Mgawanyiko umekuja kwa Yesu aliyepewa Injili,katika hiyo dini,kundi likamkataa Yesu,wao wakabaki kumuamini Musa na Taurat,mpaka Leo wanafuata Taurat,hao wakajiita Wayahud,wakaanzisha kundi lao,likabaki kundi linalomuamini Yesu,wakaitwa wakristo baada ya kufa ya Yesu,hili kundi la pili,alipokuja Mtume Muhammad hawakumuamini,wakabaki wanamuamini Yesu.Kundi la tatu wao waliendelea kumuamini Nabii Musa,akaja Yesu wakamuamini,alipokuja Nabii Muhaamadi wakamuamini,ndilo waislamu.
1.Kwa hiyo waligawanyika kuamini Manabii waliokuja baadaye lakini walibaki kufuata mila za Nabii Ibrahim(kama huko kutahiriwa,kunyoa nyele za kwapani,nyele za siri,nk)
2.Mtume aliyeanza kukataliwa Yesu,walimkataa Wayahud,hawakufuata kitabu cha Yesu cha Injili wala kumtambua.
2.Mtume aliyefuata kukataliwa ni Mtume Muhammad,akakubaliwa na kundi waliomkubali Yesu,kwa kundi hili kutoa ushahidi ndani ya Injili kama Yesu,alishamtabiri,kama akiondoka atakuja Mtume baada yangu,na akataja sifa atakazokuwa nazo(zingatia utabiri huo uko kwenye Injili sio Biblia).
Kwa hiyo hawa waislamu hawakumkataa Yesu,na alipokuja Mtume Muhammad,pia hawakukataa.
3.Miongoni mwa utabiri wa Yesu kwa Mtume Muhammad ni kuwa atamsifu na kumkubali Yesu.Na ndivyo alivyofanya Mtume Muhammad.
sure, ibishani uwe wenye tija kila mtu yupo kwajili ya kujifunza nakuelimishana. poa poa mida ngooja niende masjid nikawai hotuba.Ndugu zangu waislamu, leo ijumaa basi muende mkaswali muombe Allah azidi kuwafunulia kweli na ya kheri tupu. Ningependa pia tufungue ukurasa mpya tusitumie lugha hisiyostahiki katika mjadala wa kisayansi. Sisi watanzania siyo wagomvi kwahiyo tujadili mambo yote kwa amani.
aya ipi? iweke hapa sio kubwabwaja tu kama punda mwenye kiuTafsiri zenu zingine za Qur'an mmeandika tope. Wewe vipi wewe?
Acha unafiki. mmeanza kuja kwa style mpya!!Ingawa nimezaliwa mkristo Na natambulika hvo ila hamna dini ambayo imeonyesha hekima Na maarifa kama uislamu kuanzia uumbaji wa ulimwengu kila kitu kiko accurate kabisa
Tafadhari kama wewe muislamu tumia lugha nzuri maana Allah hajafundisha hivyo. Kama unataka aya uelimike utapata. Mimi sibwabwaji na siyo punda mwenye kiu!aya ipi? iweke hapa sio kubwabwaja tu kama punda mwenye kiu
Nakukumbusha kwamba niliandika kusisitiza amani na ndugu zetu waislamu kwa kusema "Ndugu zangu waislamu, leo ijumaa basi muende mkaswali muombe Allah azidi kuwafunulia kweli na ya kheri tupu. Ningependa pia tufungue ukurasa mpya tusitumie lugha hisiyostahiki katika mjadala wa kisayansi. Sisi watanzania siyo wagomvi kwahiyo tujadili mambo yote kwa amani."aya ipi? iweke hapa sio kubwabwaja tu kama punda mwenye kiu
Mimi nimekusamehe,tusameheane allah huwapenda wenye kusamehe.Wewe kweli bweha!
Maji matamu ndio yapi hayo?Mfano wa maji ya chumvi na matamu aya changanyikani, quran 25.53: And He it is Who has made two seas to flow freely, the one sweet that subdues thirst by its sweetness, and the other salt that burns by its saltness; and between the two He has made a barrier and inviolable obstruction.
Quran inafundisha kwamba... "Kauli njema na usamehevu ni bora kuliko sadaka inayo fuatiliwa na maudhi. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha na Mpole." (al-Baqara 2:263)Mimi nimekusamehe,tusameheane allah huwapenda wenye kusamehe.
Masha AllahQuran inafundisha kwamba... "Kauli njema na usamehevu ni bora kuliko sadaka inayo fuatiliwa na maudhi. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha na Mpole." (al-Baqara 2:263)
Kwahiyo kulingana na Quran, kusamehe ni sahihi kwa muislamu.
Ni vizuri utoe comment uweke na proper reference ya information yako. Hapo umeongea hadithi ya Alfu lela ulela.
uwezi kusoma vitabu vya iman kama unavyosoma riwaya za buli cheka, kuna aina kadhaa za ''lugha'' utumika. Na kwa mfano rahisi tu, pale unapoona maji juu ya barabara ya lami wakati wa jua kali la mchana kwani ''maji'' huwepo kweli?Tafadhari kama wewe muislamu tumia lugha nzuri maana Allah hajafundisha hivyo. Kama unataka aya uelimike utapata. Mimi sibwabwaji na siyo punda mwenye kiu!
An Nisa 4:148. MWENYEZI MUNGU hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.
Al-Kahf 18:86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.
Chini ya thread yangu nimeweka Documental film kama 4 hivi. Ila ulivyo mvivu wa kusoma ukavamia treni kwa mbele.

Sidhani kama hapa patakufaa mtu unayewaza alfu lela ulela ukiwa hapa. Nenda kwenye thread za watoto wenzio mkapeane hadithi za Sayansi kimu

[quote uid=207602 name="BigBros" post=19470277]Ni vizuri utoe comment uweke na proper reference ya information yako. Hapo umeongea hadithi ya Alfu lela ulela.[/QUOTE]Chini ya thread yangu nimeweka Documental film kama 4 hivi. Ila ulivyo mvivu wa kusoma ukavamia treni kwa mbele.
Sidhani kama hapa patakufaa mtu unayewaza alfu lela ulela ukiwa hapa. Nenda kwenye thread za watoto wenzio mkapeane hadithi za Sayansi kimu
Haya kaka, nimekuwekea hapo hadithi yako hiyo. Ziko wapi hizo video?