BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,720
- 6,528
Masai Mara ni Serengeti?Serengeti?
Hujanielewa....Masai Mara ni Serengeti?
Serengeti hata ukiwa na gari lenye namba za Hamas rukhusa kuingia nalo. Nchi hii hatuko makini na ajira za watu wetuSerengeti?
Watanzania punguzeni janja janja na uhovyo hovyo.masai mara ni mbuga iliyopo nchini Kenya, wakenya watu wa ajabu sana.
Hakuna ujanja ili uingize gari mbugani huwa kuna entrance fee point, sasa ajabu ya Uganda yanapita, ya Rwanda wanalipia wanapita, sisi Tz, tukitaka kulipia tupite, tunazuiwa, hii kweli ni sawa?Watanzania punguzeni janja janja na uhovyo hovyo.
Watanzania punguzeni janja janja na uhovyo hovyo.
= usajiliUkiachana na Ndege, kuna tatizo kule Masaia Mara, hilo liliwahi kuibuliwa na mzungu mmoja anaishi Arusha.
Kule Masai Mara hawarusu gari zenye usajiri wa Tanzania kuingia hifadhini, na badala yake ukifika na gari ya Tanzania utaacha getini utachukua ya Kenya.
Cha ajabu sasa ukiwa na gari hata la Zambia, South Africa, Uganda, Rwanda unaingia bila tatizo. Wao hawaruhusu za Tanzania pekee.
Hii ishu ipo na sijui kama ilisha tatuliwa au la. Cha ajabu hifadhi za Tanzania wao wanarusu gari za Kenya kuingia.
Historia ya wapi hiyo, mzungu na mkenya walikuwa hawakutani kirahisi, wazungu wa Kenya muda wote walikuwa wanatembea na bastola siyo kama hapa tulikuwa tunakunywa nao madafu.Mkenya siku zote akikuchekea ni kijino pembe. Ni watu wa kukaa nao kwa tahadhari Sana . Nakumbuka wakati wa ukoloni ndio walikuwa wmachawa wakuu wa wakoloni kuwachoma waafrika wenzao.Hiyo tabia wanaendea nayo hadi leo
We mjaluo kuwa na nidhamu. Kuna wezi km wakenya? Rushwa mnalazimisha brbrni.Watanzania punguzeni janja janja na uhovyo hovyo.
Wewe umexaliwa Jana nyamaza. Sisi tulikuwa kwenye jeshi la King African Rifle.Historia ya wapi hiyo, mzungu na mkenya walikuwa hawakutani kirahisi, wazungu wa Kenya muda wote walikuwa wanatembea na bastola siyo kama hapa tulikuwa tunakunywa nao madafu.