STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na tatizo la Wasanii na wafanyabiashara mbali mbali wakilalamika kuhusu swala la kuibiwa (kufojiwa) kwa kazi zao.
Ivi ni kweli mpaka sasa WANASAYANSI wameshindwa kutengeneza CD au Memory Card ambazo haziruhusu (zinazozuia) kucopy kitu chochote kilichohifadhiwa ndani yake?
Kutokana na kukua kwa teknolojia SIDHANI kama swali hilo litakosa majibu ya uhakika.
Karibuni Tujadili.