ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,429
- 118,980
Hahahah.....cha ajabu unajifanya eti haunikumbuki lol...
afu ujue bado nakupenda eeh!!

kumbe unayajua hayo.
Tena inaweza kufikia hatua mwanaume akakosa hamu kabisa na ww ila anashiriki tendo na ww kwa kuvuta hisia za ex wake. Yaan anamliza mchezo mzima lakn kumbe kichwan mwake amekuvika picha ya hawala au ex.
Haya mambo jaman sometme yanachanganya sana

hahahaaa! Kwan yeye anaweza kumlilia ex wake mbele ya mme wake?
uliwahi kudhani mi ni wa leo?
enhenhenhe!
nikihesabu xmas hapo nyuma,asee nimekula pilau nying sana!
Hommie niko kitandani. Nimeogopa ningeenda kanisani Mungu angelewa Guinness
na hili ndilo neno la Babu!Utafiti nilioufanya mwenyewe umethibitisha zaidi ya asilimia 80 ya ndoa, ni ndoa za wanandoa ambao hawajapendana upendo wa moyoni.
Hii kitu wife/husband material inawalazimisha watu waoe wasiowapenda kwa dhati.... wakijiaminisha watajifunza kupenda.... michepuko itakwepeka?
Ukiona wanandoa wamehamishia mapenzi yao kwa watoto zaidi ya wenza wao, jiulize na ujijibu.
Nimesema mimi ODM.
Hata kama siwezi ila huo ni unyonyaji aisee.... Kwa nini umuweke x moyoni kiasi hiki?
Wacha kunywa mapombe....fanta zipo za kumwaga mitaani hum
afu ujue bado nakupenda eeh!!
ni juzi juzi tu hapa ndo mashalali yaliweza kuliwa xmas!hahahahaa! Umekula pilau za xmass kama ngapi vile?
Aiseee aisee aiseee...... Hivi kwa nini watu huwa wanaachana? Kwa nmna hii wanakuwa wanatengeneza mnyororo mrefu sana wa maumivu. I wish life was fair

Hivi mtu kama hana hisia na wewe huwezi kumjua? Yan kakuoa tu kama toy ila hisia zipo kwa mwingine. Hujaona hapo Mgirik anakwambia hadi kwenye gemu anavutia picha ya x....hii ni haki kweli?
kitu kimoja binadamu tumeumbiwa kusahau pamoja na kuwa mliachana kwa sababu flani lkn ule umbali mnapotengana na siku mkikutana basi mabaya yote yanasahaulika hapo mnaanza kuvutiana hisia za upendo wenu wa zaman mtajikuta mnavuana bila hata kipingamizi.
Jaman nguvu ya penz ni kubwa sana hasa kama mlipendana kwelikweli