badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
na hao waliokuchezea walikukaa kwenye ini?
hawajakaa popote,ni kama upepo tu
na hao waliokuchezea walikukaa kwenye ini?
Nmeguswa sana hii maada. Sitamsahau ex wangu tulipendana sana tulipitia hali ngumu naye alinivumilia na nilimvumilia alinifariji kila ninapokumbwa na matatizo alijivika matatizo yangu yakawa yake. Lah hasha! Safar ya maisha ni kiza kinene unajua unapotoka lakn hupajui unapoenda. Niliweza kusafir mikoa ili nikamuone na kumjulia hali na yeye aliweza kujitoa kwa ila hali ili tu mambo yaende sawa.
Siku uhusiano wetu unavunjika alitoa machoz hadharan kama kapatwa na msiba. Naweza kujiita mzembe kwa kushindwa kulinusuru penzi na kusikia maneno ya watu. Japo palikuwa na vielelezo lakn nilishndwa hata kutoa nafasi ya msamaha, hasira hasara.....
Nakumbuka neno alilonambia Mungu anasamehe lakn ww mwanadam ni nani hasa hutaki kusamehe? Japo kwasasa yeye ni mke wa mtu lakn bado ananilaumu kwa kushindwa kunusuru penzi....
Pamoja na kuwa kila mtu ana hamsini zake lakn tunasaidiana kwa kila linalowezekana.
Sitokuja kumsahau my ex wangu, kutokuwa pamoja limekuwa pengo kubwa
Mke wetu, nakukumbusha leo ni Jumapili.
wanaume jmn mpunguze hasira..ona sasa majuto,keshaolewa huko lakn moyo ukute upo huku

kwani hamna kusaliana?
ila hem niambie
kiporo unachopasha ni cha wali ndondo au cha pure la kipare?
Nikigundua mwanaume anamlilia x kiasi hiki nakaa mbali nae kabisaaa
hahahahahahaahahahahaha
wallahi mama matesha Sr
bora angekuzaa ukiwa mbudhi ungesaidia kufanya awe na mgomba matata mengeleni!
Nikigundua mwanaume anamlilia x kiasi hiki nakaa mbali nae kabisaaa
Punguza wivu we mtoto
Mwenyewe anajifagilia amejitotolea bonge la kidume. Lina watoto watano kwa wamama watatu LOL
Bahati mbaya wanaowalilia huwa hawawalilii tukiona!
wanawalilia kwa mapishi yetu
wanawalilia kwa swaga zetu kitandani
wanawalilia kwa maumbo yetu
wanawalilia kwa tunavyodeal na emotions zetu
wanawalilia kwa mitazamo yetu!
basi mradi raaaaha tu kudate watu wasio na uwezo wa kuapdate kama sio kuconfigure RAM zao!
unaeza jikuta unampa kelbu mbili matata mpk asahau jina lake kwa sekunde!Aaah sitaki mimi....kutwa kukusimulia jinsi alivyoumizwa
bila shaka huwa mnajikumbushia mdogomdogo.
Bahati mbaya wanaowalilia huwa hawawalilii tukiona!
wanawalilia kwa mapishi yetu
wanawalilia kwa swaga zetu kitandani
wanawalilia kwa maumbo yetu
wanawalilia kwa tunavyodeal na emotions zetu
wanawalilia kwa mitazamo yetu!
basi mradi raaaaha tu kudate watu wasio na uwezo wa kuapdate kama sio kuconfigure RAM zao!
wanaume jmn mpunguze hasira..ona sasa majuto,keshaolewa huko lakn moyo ukute upo huku
nakiri kufanya dhambi ya kutembea na mke wa mtu. Moyo unaniuma sana nahsi kama jamaa ndio mwiz ila mm n mme halali
Aiseeee....Sasa mimi ntabaki kushindana na mtu ambaye simuoni nitaweza? Nitaimprove my standards kulingana na mahitaji ninayoyaona hayo mengine kuchoshana tu