Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
kumegwa kwa dushe na vidole.
Kuchezewa ndo kumegwa bila condom au kumegwa kabla ya romansi?
Kuchezewa ndo kumegwa bila condom au kumegwa kabla ya romansi?
hahhaha afu wewee
Duuuh...
Umeniita au umeniquote kwa bahati mbaya?
Huwa sijuti wala kuangalia nyuma, the past is gone and i have to focus for the future.
i dont keep memories, because its a stupid move.
Bahati mbaya tu....akuite nani wewe ptuuu
you could burn pictures,gifts,delete msgs nk...u cant format ur brain to delete memories of the times u had
Aisee. Dah!!!
Haya bhana.
Aisee. Dah!!!
Haya bhana.
mhhhhhhh sio hvo bana,i js meant alowahi kaa moyoni mmoja tu
mhh umekuwa mdogo km Asprin itself lols
Tamthilia zinawadanganya sana.
Hahahah...usiogope sikuchukii wewe kama wewe ila nakuchukia kwa vile we ni my x
she baaaad....poleh mwaego,..Ameniumiza moyo bhana... ushawahi kutemewa mate wewe.
Ameniumiza moyo bhana... ushawahi kutemewa mate wewe.
Nmeguswa sana hii maada. Sitamsahau ex wangu tulipendana sana tulipitia hali ngumu naye alinivumilia na nilimvumilia alinifariji kila ninapokumbwa na matatizo alijivika matatizo yangu yakawa yake. Lah hasha! Safar ya maisha ni kiza kinene unajua unapotoka lakn hupajui unapoenda. Niliweza kusafir mikoa ili nikamuone na kumjulia hali na yeye aliweza kujitoa kwa ila hali ili tu mambo yaende sawa.
Siku uhusiano wetu unavunjika alitoa machoz hadharan kama kapatwa na msiba. Naweza kujiita mzembe kwa kushindwa kulinusuru penzi na kusikia maneno ya watu. Japo palikuwa na vielelezo lakn nilishndwa hata kutoa nafasi ya msamaha, hasira hasara.....
Nakumbuka neno alilonambia Mungu anasamehe lakn ww mwanadam ni nani hasa hutaki kusamehe? Japo kwasasa yeye ni mke wa mtu lakn bado ananilaumu kwa kushindwa kunusuru penzi....
Pamoja na kuwa kila mtu ana hamsini zake lakn tunasaidiana kwa kila linalowezekana.
Sitokuja kumsahau my ex wangu, kutokuwa pamoja limekuwa pengo kubwa
Mi sijakutemea wewe nimetema pembeni tu